MrsPablo1
JF-Expert Member
- Jun 9, 2013
- 792
- 1,309
Mimi ni mwanamke nipo below 35yrs ,nilikuwa natafuta skills mpya ya kujifunza ndiyo nikajipata kwenye hiyo data analytics, mimi chuo nimesoma procurement&supplies management je nitaweza kutoboa kwenye hiyo course ya data analytics au ni course ya watu wale vipanga wa PCB?
Please ushauri wenu ni muhimu sana ili niweze kufanya maamuzi kabla deadline ya ku apply na kufanya malipo ni 27/feb. Asanteni.
Kama kuna member wameshafanya hizi programs za Alx africa naombeni uzoefu wenu je nitatoboa?
Muda ninao,pc ninayo mchawi ni bando tuu ila nitajitahidi kama inawezekana.