Mjukuu wa mama
Member
- Sep 18, 2023
- 35
- 45
nimekata tamaa,madeni mengi ,, nisaidien dawa inayoua na inapatikana kwa uharaka
nimejitahd naona option ya mwisho ,,, nilitaka nitumie ya panya ila nahs ntachukua mdaMkuu usifikie huko kabsa...utainuka tena wala usikate tamaa
Una deni la sh ngap kwan????nimejitahd naona option ya mwisho ,,, nilitaka nitumie ya panya ila nahs ntachukua mda
Utapojiua si unaacha tena mzigo wa madeni , kama wabishi bora uwakimbie uende hata Kijijini ukajipange upya naanimi utainuka In Shaa Allaah Kisha urudi kulipanimekata tamaa,madeni mengi ,, nisaidien dawa inayoua na inapatikana kwa uharaka
mil 3Unadaiwa shilingi ngapi kwanza ndugu isije kuwa unadeni la milioni Moja ukaja humu kulialia
mtu binafs,,, sina mtoto wala familiaUnadaiwa na watu au Taasisi ?
Kama ni watu sema na kama ni Taasisi sema
Kujiua ni njia nzuri endapo ukiwa hauna familia kama watoto mke au mme
Ila tofauti na hapo ni kujiua ni ubinafsi mkubwa
Kwanza jitahidi usikope tena.nimekata tamaa,madeni mengi ,, nisaidien dawa inayoua na inapatikana kwa uharaka
asante ila nashindwa kumweleza ,,ntapata fedhehaKwanza jitahidi usikope tena.
Ishi kwa means uliyonayo. Kwa mfano Kama unaafford kula mlo mmoja bas komaa na huo huo.
Kama unaumwa na huna hela za Hosp basi komaa na mitishamba.
Nina maanisha usiongeze gharama za maisha.
Pili, Mdeni hafungwi. Na wanaokudai uwaambie ukweli kuwa bado mambo hayakakaa sawa. Na kama ulikuwa unawaahidi utawalipa ndan ya mwez mmoja. Bas waambie wakupe miez mitatu. (Yaan usiahidi tarehe za usoni).
Tatu, ndio uchakarike sasa kutafuta hela za watu. Ongea na ndugu na jamaa na marafiki ili wakupe boost. Uza assets zako kama ikibidi.
All in all. Usikate tamaa ukafikiria hili la kujiua. Weka nia ya kulipa madeni na uchakate akili zaidi.
Maana Penye nia pana njia.
Utakuwa mduwanzi kujiua kisa unadaiwa Mill 3.labda niulize ya panya inaua kwa haraka ???