Natafuta mke mwenye sifa hizi

Natafuta mke mwenye sifa hizi

kwaku the traveler

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2023
Posts
308
Reaction score
853
Natafuta mke mwenye sifa hizi;

umri kuanzia miaka 20 had 25, asiwe na mtoto, awe mweupe au mweusi vyote sawa na akubali kupima Afya (HIV) kabla ya ndoa, mwenye Elimu yeyote na kabila lolote,

Sifa Zangu: Umri wangu 30yr, Urefu 6ft mweusi mwembamba, kabila Myao, naishi Kahama

karibu Dm kama upo teyari
 
Mke JF? Mkuu umepotea

Kama unataka mke wa kukaa naye miaka nenda rudi angalia huko mtaani kwako ! Hawa wa mtandaoni ukikagua simu zao wana BADOO! TAGGED !TINDER! SNAPCHAT! Na nakuhakikishia kila mwanamke yuko mitandaoni kwa mambo tofauti tofauti ila katika hayo tofauti tofauti kuna hilo la kusaka ngekewa! Ukitaja dau zuri Mfano Unasema unampa 3M kukutana na mnakutana Mfano Qatar au Bahrain au hata Bangkok, Macau mle maisha week moja, mademu wengi watawakana hata waume zao na mabwana! Na Wengine watasema wana bikra kabisa,

Hivo basi hao wa mtaani ndo hawa hawa wa mtandaoni, ila bora shetani unalolijua kuliko Fisi mwenye mgozi ya Kondoo

Wale wenye mademu mko hapa

Kwenye photo Gallary kuna Sehemu ya HIDEN PHOTOS wanaweka either Face ID kufungua au wanaweka password zama huko, mademu zenu na Wengine tunawaheshimu hadi wake za wachungani wanatutumiaga view once kwa 50$,

Pili Ingia kwenye simu ya demu wako saka maneno haya kwenye whatsap messages
1. Nude
2. Pregnant
3. Condom
4. Row (Bila Kondom)
5. P2
6. Abortion
7. BNB (Lodge , Hotel)
8. Cum
9. Sex
10. Hiv

Hutakosa neno

Alafu ingia kwenye map routes za Bolt au Grab uone hotels anazopelekwaga 😀😀😀

Kama mesej wanafuta kuna anti delete codes nilikuwa nalipia dollars kadhaa Hiyo app inarejesha mesej zote ! ***** ndo maana sitakuja kuamini mwanamke kula Tambaaa
 
Duh noma aisee
 
Daah
Hapana huyo yuko vijijini, hii haimuhusu, hata bolt huko hamna
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom