M Mhesu Member Joined Nov 20, 2025 Posts 6 Reaction score 3 Jul 4, 2026 #1 Kama wewe ni mchimbaji mdogo una dhahabu unauza mimi natafuta dhahabu ya vipande (gold nuggets) za kununua. Hasa wale ambao wamepata dhahabu machimboni kwa njia zisizo rasmi na wanatafuta soko karibuni pm
Kama wewe ni mchimbaji mdogo una dhahabu unauza mimi natafuta dhahabu ya vipande (gold nuggets) za kununua. Hasa wale ambao wamepata dhahabu machimboni kwa njia zisizo rasmi na wanatafuta soko karibuni pm
Idimulwa Platinum Member Joined May 27, 2011 Posts 6,027 Reaction score 4,691 Jul 4, 2026 #2 Ngoja TISS-CCM wakuibukie PM
Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 25,829 Reaction score 28,105 Jul 5, 2026 #3 Mhesu said: Kama wewe ni mchimbaji mdogo una dhahabu unauza mimi natafuta dhahabu ya vipande (gold nuggets) za kununua. Hasa wale ambao wamepata dhahabu machimboni kwa njia zisizo rasmi na wanatafuta soko karibuni pm Click to expand... Ninayo gram tatu unanipa bei gani?
Mhesu said: Kama wewe ni mchimbaji mdogo una dhahabu unauza mimi natafuta dhahabu ya vipande (gold nuggets) za kununua. Hasa wale ambao wamepata dhahabu machimboni kwa njia zisizo rasmi na wanatafuta soko karibuni pm Click to expand... Ninayo gram tatu unanipa bei gani?