Natafuta kazi ya Udereva Bolt

Natafuta kazi ya Udereva Bolt

Joined
Dec 22, 2018
Posts
10
Reaction score
6
Naitwa Ramadhan Hasheem naishi Kinyerezi, Dar es Salaam. Niko apa kuomba mwenye ajira ya dereva bolt iwe Mkataba au hesabu.

Leseni yangu iko clean na pia nitakuja na barua ya mwenyekiti na vitambulisho na passport kwa ajili ya usalama wa mwajiri.

Namba zangu za mawasiliano 0611 947177
Ahsanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom