Natafuta winga Kariakoo

Natafuta winga Kariakoo

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,615
Reaction score
1,901
Nipo mkoani, mara nyingi huwa nahitaji vifaa vya nyumbani na ofisini kutoka sokoni kariakoo moja kwa moja. Sasa kuna ndugu nimekuwa nikimtumia kwa muda mrefu amepata safari na yupo nje ya mkoa wa Dar,.

Hivyo kama kuna Winga unamfahamu ambaye ni mwaminifu mwenye ambaye tutafanya kazi nipewe namba zake.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom