Natafuta Kundi la Meditation ya Kina

Natafuta Kundi la Meditation ya Kina

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
10,912
Reaction score
21,641
Za jioni wadau...

Nimekuwa ni kipractice meditation for a while now.

Imenisaidia pakubwa ila kuna Sehem nataka kufikia spiritually ila nakosa focus and concentration nikifanya peke yangu.

Nataka kujua ni wapi kuna temple, au Kuna ma Buddha... Achana na yogist
Hasa kwa Dar

Nataka wale wanaofanya extensive and intensive meditation ile ya complete focus...

Nimekuwa muumini wa meditation ila ukweli kuna power of being a group kuna kwa na sense of accomplishment, ingawa sio lengo kuu la meditation but ni gateway mojawapo ya kupata glimpse of Enlightenment.

Kama kuna mtu ana practice na wanagroup lililo serious pia ingekua powa zaidi...

Na fikiria kuja kwenda India pia mwisho wa mwaka I've been saving for that.

So wadau kama kutakuwa na mtu anajua au ana fahamu mahala naweza kupata hiyo community atakuwa amenisaidia.
 
Una mda gani mpaka sasa hivi unafanya meditation.
 
Kama lengo lako ni kufikia hali ya ndani iliyo ya kina, usifikirie kwamba nguvu ipo kwenye kundi au sehemu maalumu, Kundi linaweza kukupa mazingira mazuri na nidhamu, lakini hali ya kutafakari hutokea ndani yako, si kwa sababu ya watu waliokuzunguka.

Sadhguru hueleza kuwa meditation si kitu unachokifanya, ni hali unayoiruhusu itokee. Ukiendelea kutafuta experience au enlightenment, unaweza kujikuta unafukuza kitu kinachokuepuka.

Jenga uthabiti kwenye mazoezi ya kila siku, pata mwongozo sahihi kutoka kwa mwalimu mwenye uzoefu.
 
I know

Najua hayo yoote, ila we all know kila mtu ana techniques zake, it's what works best for everyone. Mimi nimeona hiyo ya kuwa kwenye group ndo njia sahihi kuniwezesha kuwa able kufikia Enlightenment....

Najua fika it's not about them, hata kama unafanya meditation kwenye muziki pembeni bado unaweza kufikia...

So... I know ewe mmtaumbi. Kwa stage nilofikia I don't need any guidance. Najua meditation sio yoga mpk ufanye pose fulani au u chant mantra ipi... Ni uwepo na mimi niwapo na group inakuwa rahisi kwangu
 
Mbona kama Chat GP hii mkuu?
 
"Kwa stage nilofikia I don't need any guidance"

Hii kauli hata kwa watu wa Tibet sijawahi isikia
 
Back
Top Bottom