naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naombeni kazi kwa usiku

    NAOMBENI KAZI KWA NYAKATI ZA USIKU
  2. JamiiForums Tanzania Mimi Mgeni, naombeni ukaribisho mzuri

    Habari zenu wanajukwaa Mimi ni mgeni naombeni ukaribisho mzuri na pia nahitaji marafiki wapya wakubadilishana mawazo 🙏🙏
  3. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada

    Kuna huu utaratibu wa kure-new vyeti vya kuzaliwa kulikoni kwani hivi vipya vipoje
  4. JamiiForums Tanzania Naombeni solution

    Habari wana JF . Naombeni solution ya kuondoa social anxiety na kuimprove social communication, napoteza vitu vingi sana Especially real connection , kwasababu tu ya kua na ile anxiety ya what if ?
  5. JamiiForums Tanzania Naombeni kazi ya Guest house

    Kama uko na nyumba ya wageni na unahitaji mfanyakazi Niko hapa, nitafanya kazi zote, na Seriously ndani ya miaka miwili utajenga guest nyingine. Mtu seriously pekee anicheki
  6. JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa afya na nguvu naombeni shughuli ya kufanya niingize kipato

    Mtaji wangu ni afya naombeni shughuli ya kufanya
  7. JamiiForums Tanzania Wataalim wa Wifi naombeni msaada wa kibiashara

    Salam wana Jf Nahitaji kufungua biashara ya wifi yaani nifunge wifi kisha niwe nawaunga jamii iliyonizunguka kwa 500 per 1hrs. Ila sijui nianze na kitu gani gharama zake? Jinsi ya kudhibiti data washusha movies, umbali kiasi gani ndio mzuri? Kifurushi unlimited haijalishi kitamiwe kiasi gani...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Afya ya mama mjamzito

    Je, ni kawaida kwa mwanamke mwenye ujauzito kuwa anatapika frequently kiasi kwamba hakuna chochote anachoweza kula iwe ni maji ama chakula ni lazima atapike? NI ujauzito wake wa kwanza.📌 dawa zote alizopewa siku ya kuanza clinic hazimezwi sababu ya kutapika.
  9. JamiiForums Tanzania Naombeni jibu: Je, viongozi wa harakati za uhuru wanapewa sifa kubwa kuliko hali halisi ya kisiasa iliyokuwepo wakati huo?

    Nikisomaga historia za uhuru wa nchi za Afrika inaonekana kwamba ilikuwa ni mapambano makubwa sana yaliyohitaji juhudi za ajabu kutoka kwa viongozi kama Julius Nyerere, Jomo Kenyatta na wengine wengi. Lakini nikiangalia kwa karibu, miaka ya 1950 na 1960 ilikuwa kipindi ambacho tawala nyingi za...
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada, hii ndoto ina maana gani?

    Wakuu salaam! Naota nakutana sana na huyu rafiki yangu aliyefariki mwaka 2018 ,si mara moja Wala mara mbili ni mara ya nne sasa na yote ni huu mwaka tu. Naota shule imefungua tumekutana tena namuuliza 'mbona ulikua hunitafuti likizo ? na yeye aniuliza mbona na wewe ulikua hunitafuti?' basi...
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni kazi Niko mwanza mkoleni.

    Wakuu naombeni kazi yoyote hata saidia fundi. Au kama Kuna mtu anajua kazi za day zinapopatikana naomba anielekeze. Namba yangu ni 0790601629. Asante.
  12. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina million 3 nifanye biashara gani?

    Habarini wakuu Katika Harakati za hapa na pale nimepata milion 3 nifanye biashara gani?ili niweze kupata Kwa siku faida ata 30k.
  13. JamiiForums Tanzania ONSTREAM imeliwa kichwa naombeni site nyingine kali ya kudownload movie offline

    Wazee ni wiki ya pili sasa Onstream imegoma kabisaaa. Toeni msaada wa sites nyingine kali nzuri za kudownload movie.
  14. JamiiForums Tanzania NAOMBENI USHAURI

    Kuna siku kazini tulikuwa na get together, basi tukatoka out Kama office to have dinner then later watu wakaextend wakaenda kwenye mziki, so what happened is my boss was there so nilishangaa tu kwenye my table vimeletwa vinywaji naambiwa ni offer kutoka kwa fulani ( my boss) nikasema okay though...
  15. JamiiForums Tanzania Naombeni chaka la kinyozi/ vinyozi wazuri bei kitonga

    Wakuu habari za wakati huu Naombeni mnipe location ya vinyozi wazuri mtaani bei kitonga (achana na izi babershop unafutwa na mataulo ya maji bei juu😅 Kipindi nipo maeneo ya mikocheni nikuwa naenda kwa msela mmoja wakuitwa KATUNI alikuwa anapatikana kinondoni manyanya bei 3k jamaa alikuwa fundi...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Natarajia kuuza viatu kwa jumla naombeni maoni yenu

    Natarajia kuuza viatu kwa jumla naombeni maoni yenu.
  17. JamiiForums Tanzania Naombeni mkopo huu utumike ipasavyo

    Mimi nishanunua chupi ya chuma wewe je Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limefikia makubaliano ya awali na serikali ya Tanzania kutoa ufadhili wa dola milioni 375.5 (takriban Shilingi bilioni 978.3). Hatua hii inalenga kuisaidia nchi hiyo kukabiliana na athari za kiuchumi zinazotokana na...
  18. JamiiForums Tanzania Natakiwa kufika Dar kesho jioni, nipo Simiyu Bariadi mda huu.Kama Kuna dereva yeyote anapita njia hii naombeni msaada wakuu nina 40k tu mfukoni

    Wakuu natakiwa siku ya kesho niwe Dar ila nauli ya kufika Dar Sina nina 40k tu, naombeni kama Kuna dereva anapita hii njia ya Bariadi - dar anipe rift nifike dar wakuu. Naombeni sana madereva 🙏 Update;Nilifanikiwa na maisha yanaenda fresh tu
  19. JamiiForums Tanzania Nifanyaje niache kubeti?

    Guys naombeni ushauri unaofaa nimekua mraibu wa kubeti mpaka Sina Tena marafiki, Nina madeni mpaka kausha damu, mkewangu anataka aondoke aniache, Nina watoto wanne na wanasoma, mwaka jana tu kidogo watimuliwe shule kwa kukosa ada. Nikakomaa miezi mitatu bila kubeti ila imeshindikana nimeanza...
  20. JamiiForums Tanzania Naombeni tips za sehemu nzuri Dar Kwa Outing low budget

    Habari zenyu, poleni na majukumu Moja Kwa moja kwenye pointi, 2024 nlivyoondoka huku dar kulikuwa na kabinti Kwa huo mwaka niliona si vyema kuingia nako kwenye mahusiano, tukawa tu marafiki story story na maswali ya shuleni ya hapa na pale, in short sikuwa na interest nacho. 2026 nimerudi ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…