Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 320
- 567
Habari wana JF .
Naombeni solution ya kuondoa social anxiety na kuimprove social communication, napoteza vitu vingi sana Especially real connection , kwasababu tu ya kua na ile anxiety ya what if ?