R_Breazy
JF-Expert Member
- Aug 28, 2025
- 337
- 666
Wakuu habari za wakati huu
Naombeni mnipe location ya vinyozi wazuri mtaani bei kitonga (achana na izi babershop unafutwa na mataulo ya maji bei juu😅
Kipindi nipo maeneo ya mikocheni nikuwa naenda kwa msela mmoja wakuitwa KATUNI alikuwa anapatikana kinondoni manyanya bei 3k jamaa alikuwa fundi sana.
Nimetoka nimerudi naenda kunyoa naambiwa jamaa kashavuta (washazika kitambo) so sad but maisha lazma yaendelee 😣🙌 nimenyoa hapo mara mbili ila mara zote sjaridhika kabisa japo anajitahidi ila bado sjamwelewa tu. Napiga hesabu napotokea kwenda SAIVI na vyenye kinyozi ananitoa naona si kweli.
NImehamia Yombo huku maeneo ya chama, naomba mwenyeji anayejua kinyozi mzuri anielekeze kwa maeneo ya chama(makaburi ya city) au maeneo yoyote jirani na sehemu nilipo.
Natanguliza shukrani 🙏🙏