Eunice selin
Senior Member
- Jun 28, 2026
- 108
- 265
Habari zenu wanajukwaa Mimi ni mgeni naombeni ukaribisho mzuri na pia nahitaji marafiki wapya wakubadilishana mawazo 🙏🙏
🙌😂Karibu sana,
Jisikie kama upo Nyumbani ila usifungue Friji.
Haujawahi kusema hataAsante sana mkuu ila mpaka nimesha sahau nilisema lini 🤣
Jamanii Ndioo nn 🤣Nyegeraaga!
🤣🤣Haujawahi kusema hata
Nimekusoma akili yako nikaona mawazo yako yanatakiwa kupata mtu wa kubadilishana nae 😂
kwenye friji lako kuna😅Karibu sana,
Jisikie kama upo Nyumbani ila usifungue Friji.
Karibu sana EuniceHabari zenu wanajukwaa Mimi ni mgeni naombeni ukaribisho mzuri na pia nahitaji marafiki wapya wakubadilishana mawazo 🙏🙏
Karibu mgeni. Unaweza kunisindikiza mnadani?Habari zenu wanajukwaa Mimi ni mgeni naombeni ukaribisho mzuri na pia nahitaji marafiki wapya wakubadilishana mawazo 🙏🙏