Wataalim wa Wifi naombeni msaada wa kibiashara

okiwira

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Posts
3,450
Reaction score
3,832
Salam wana Jf

Nahitaji kufungua biashara ya wifi yaani nifunge wifi kisha niwe nawaunga jamii iliyonizunguka kwa 500 per 1hrs.

Ila sijui nianze na kitu gani gharama zake? Jinsi ya kudhibiti data washusha movies, umbali kiasi gani ndio mzuri? Kifurushi unlimited haijalishi kitamiwe kiasi gani hakiishi kama kinaisha nifanyeje nitoboe mwezi?

Nina maswali mengi karibuni nipate ABC 🙏 ASANTENI.
 
Mkuu kwa Wi-fi gani?

Hizi hizi za Airtel zenye data cap?

Halafu saizi ishakuwa yeboyebo kila mtu anayo, hii imefanya maeneo mengi kutoza bei ndogo kwa watu wanaounganisha.

Mfano mtaani kuna watu wanaunganisha jero siku nzima.

Sijui eneo lako upatikanaji wa hiyo huduma ni wa kiwango gani. Ila kama kutakuwa na mfanano basi itakupa challenge.

Kumbuka hizo Wi-fi sio unlimited, watumiaji wako wakifikisha data cap iliyowekwa na ISP basi hapo speed itashushwa hadi 0.87Mbps.

Na ukifikia speed hiyo hakuna mtu ambaye atakuwa tayari kutoa jero lake hata kama utamuambia atumie kwa wiki nzima.
 
Asante sana mkuu hapana hakuna namna naweza fanya kuweka watu wasitumie speed kiasi flan?

Watakaotaka kushusha movies wasiwe speed kiasi hiyo Wifi au bando likaelemewa👇👇👇

"" Kumbuka hizo Wi-fi sio unlimited, watumiaji wako wakifikisha data cap iliyowekwa na ISP basi hapo speed itashushwa hadi 0.87Mbps.""
 
Kuna jamaa tiktok nimesahau jina ila anauza kifaa ambacho kinasaidia WiF kwenda hadi Umbali wa km 1 pia ana mfumo wa vocha ambao mteja anachagua mwenywe kifurushi atakacho kama ni 500 kwa saa au 1000 kwa siku ukiisha muda inajitoa tu yenyewe we kwako zinaingia pesa tu ila wanajiunga wenyewe huko waliko.
 
Salam wana Jf

Nahitaji kufungua biashara ya wifi yaani nifunge wifi kisha niwe nawaunga jamii iliyonizunguka kwa 500 per 1hrs.

Ila sijui nianze na kitu gani gharama zake? Jinsi ya kudhibiti data washusha movies, umbali kiasi gani ndio mzuri? Kifurushi unlimited haijalishi kitamiwe kiasi gani hakiishi kama kinaisha nifanyeje nitoboe mwezi?

Nina maswali mengi karibuni nipate ABC 🙏 ASANTENI.
Kuna dada nilimpa idea akaweka dukani kwake anakula vichwa mtaani na yuko karibu na kijiwe cha boda. Shida speed wakijiunga watu wengi inakuwa kobe. Kama ulipo kuna fiber itakuwa poa zaidi kuliko hizi router
 
Back
Top Bottom