Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali

ManyamaUS

Member
Dec 21, 2022
15
13
Habari ndg wanajamii!

Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali nipate kipato niweze kuendelea kumhudumia mama yangu ambae ni mgojwa miezi sasa tangu anze kuugua hospitalini nimezunguka sana kila wakipima wanasema hawaoni kitu chochote daktari akanishauri nimchukue mgonjwa nimpeleke kwenye tiba mbadala, hivyo changamoto niliyonayo ni ya kifedha nimekuja kwenu kwa yeyote mwenye kazi tafadhari anisaidie niokoe maisha ya mama yangu.

Kazi ambazo nimewahi kufanya kusimamia lodge, counter kwenye bar, mauzo, kusimamia site ya mtu kulikuwa na ujenzi, na kuuza duka. Ila naweza kufanya kazi yoyote nikielekezwa.

Niko tayari kufanya kazi mkoa wowote. Nitakushuru daima kwa kufanikisha ombi langu. MAWASILIANO 0678179034
 
Nina changamoto na simu, ndiyo maana sijaweka namba ya simu, mama akiwa bado akiwa hospitali tuliishiwa pesa ikabidi niuze simu hvyo kwa sasa nina laini tu, naazima simu hivyo ukiwiwa kunisaidia itakuwa vyema ukaniachia namba yako mimi ndo nitaazima simu nikutafute, samahani kwa usumaufu huo. Nahitaji msaaada wa haraka sana ndg zangu nilikuwa na mbuzi kutokana na hii hali niweuza zote.
 
Habari ndg wanajamii!

Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali nipate kipato niweze kuendelea kumhudumia mama yangu ambae ni mgojwa miezi sasa tangu anze kuugua hospitalini nimezunguka sana kila wakipima wanasema hawaoni kitu chochote daktari akanishauri nimchukue mgonjwa nimpeleke kwenye tiba mbadala, hivyo changamoto niliyonayo ni ya kifedha nimekuja kwenu kwa yeyote mwenye kazi tafadhari anisaidie niokoe maisha ya mama yangu.

Kazi ambazo nimewahi kufanya kusimamia lodge, counter kwenye bar, mauzo, kusimamia site ya mtu kulikuwa na ujenzi, na kuuza duka. Ila naweza kufanya kazi yoyote nikielekezwa.

Niko tayari kufanya kazi mkoa wowote. Nitakushuru daima kwa kufanikisha ombi langu
Kuna kazi wizara ya kilimo kaka...ni miradi ya Serikali..nenda Halmashauri yako ukaulize..
 
Kama uliwahi simamia ujenzi hapo ungemuomba Yule aliekupa hiyo kazi akuunge Kwa watu wengine wanaojenga...hiyo ni rahisi zaidi kwako.....au pita kwenye ma site omba kazi ...
bahati mbaya mawasiliano yake nilipoteza na kwa sasa nipo kijijini site za ujenzi ni changamoto sana. Vibarua hamna mkuu
 
Unapatikana wapi mkuu?
Polee kwa changamoto unazopitia ayo yote ni daraja kama vile ilivyo dhahabu lazima ipite kwenye moto ili isafishwe mkuu..

Usife nguvu
napatikana wilaya ya kwimba mkoa wa mwanza, ahsante sana mkuu kwa faraja. Mungu ni mkuu
 
Wanajamii habari! Bado nahitaji msaada wenu wa kazi nipate pesa ya matatibu ya mama yangu, hata kazi ya usafi, kulisha ng'ombe, viwandani v na nyinginezo mradi nipate pesa, nitakushukuruni sana ndg zangu nitazameni kwa jicho la tatu nahitaji msaada wa kazi
 
😥😣😣😣😣😣unapitia mambo ninayo yaona kaka pole sana ...MAMA ndio kila kitu
 
Ehh Mungu , sina kazi ila Mpe kwanza huyu ndugu yetu amtunze mama yake please lord
 
😥😣😣😣😣😣unapitia mambo ninayo yaona kaka pole sana ...MAMA ndio kila kitu
ahsante kaka, napitia wakati ambao mgumu kuliko uwezo wangu wa kufikiri ni mungu tu kunishika mkono kupitia kwa mja wake mmoja
 
Pole sana mkuu; angalizo tu, tusipende kuweka dhana ya huzuni, hii itawafukuza waajiri, kwa kuamini kuwa, akikupa kazi utakuwa ukimsumbua kwa malipo kabla ya muda kufika, na hatimaye ukapoteza sifa za kuajirika.​
 
Back
Top Bottom