naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali niko mbali naombeni 'Updates' za Msiba wa Mzee Nimrod Elirehema Mkono

    Hasa hasa nataka kujua ni lini Mwili wake unaingia kutokea huko Jijini Boston nchini Marekani alikokuwa na alikofia. Na pia kama ukifika nataka kujua je, utapelekwa moja kwa moja Mortuary Lugalo au Kwake Masaki kwa taratibu zingine Kuendelea? Tafadhali kama utapelekwa Kulala Mortuary ya Lugalo...
  2. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu kwenye hili tafadhali.....

    Mimi ni kijana mdogo wa miaka 19. Hivi karibuni nimekua nikipatwa na msukumo mkubwa wa kunywa pombe na kuvuta bangi. Kusema kweli najaribu sana kujizuia, lakini naona kama hizi jitihada zangu hazitozaa matunda..... Kwa muda mrefu sasa, marafiki zangu nawaona wanachukulia hii ishu kawaida...
  3. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ni vipi Mungu anahusika kuwaleta duniani watu wanaozaliwa na ulemavu unaofanya maisha yao kuwa Jehanamu, Ni baraka yake kuwa hivyo ?

    Nimechoka na majibu ya mkato kwamba mambo ya Mungu tumwachie Mungu mwenyewe, hili jibu haliwezi kamwe kutosha kwa maisha magumu wanayopitia walemavu, Ufafanuzi unahitajika !! Wanasema kila kitu ni utukufu wa Mungu, watu wote wanaozaliwa wameumbwa kwa baraka yake, Kwa walemavu je ni baraka kwa...
  4. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Hili ni swali langu kwenu mnaosema Israel ni ya wapelestina, Acheni kujitia upofu mtazame uhalisia

    Tusichanyanya mafile, hatuzungumzii biblia bali tunazungumzia uenyeji wa ardhi husika Tuliza kicha tafakari hili swali Hivi mfano pale Mecca pangevavamiwa na wagiriki kisha waarabu wa hapo wangesafirishwa kutumiskishwa huko ugiriki na hapo Mecca mgiriki angeuza viwanja kwa waisrael, baada ya...
  5. captain 21

    JamiiForums Tanzania Forex traders naombeni msaada tafadhari

    Mambo vipi wakuu mko poa?!! natumaini mko salama. Kwa wale wazee wa forex naombeni msaada ni broker yupi ambae unaweza uka-deposit na ku-withdraw pesa kupitia mitandao ya simu ya Tanzania. Pia ni idadi ngapi ya PIPs ambayo mtu inabidi aivune kwa wiki ili mwisho wa mwisho capital yake iwe katika...
  6. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa na soko la nguo hapa bongo, Wale mnaonunua online tunaombeni mtupe uzoefu wenu tupate nguo zenye ubora

    Habari zenu wakuu, hapa bongo soko la nguo kuna baadhi yetu lishatutoa knock out, unaweza kwepa midosho ya elf 15 ukaenda kwenye duka la cadet za elf 40 ukazani hapa ndio penyewe kumbe mambo yale yale tu, ukifua mara mbili tatu ishakuwa bwanga, pindo hohe hahe, rangi imechuja. Sasa basi mimi...
  7. Faana

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnishauri katika hili

    Mwaka 2019 January nilimpangisha mtu kwenye nyumba yangu, akaniahidi kunilipa kodi baada ya wiki, nikamkubalia, lakini wiki ilipokwisha hakulipa akaomba alipe mwisho wa mwezi, nikasema sawa. Kilichoniumiza, mwisho wa mwezi akaenda kwa wapangaji wenzake akawadanganya kuwa nimemtuma akusanye kodi...
  8. Sambinyakwe kitololo

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada juu ya kuagiza Alibaba, bila kutumia njia zao za usafiri

    Nimekuwa nikiagiza mizigo AliExpress kwa muda Sasa ,, nataka tumia alibaba kwa baadhi ya mizigo Nimechat na seller kanitumia link na nili inquiry logistics company akanipa cheapest Ni Dola 30USD Njia za Alibaba zinaonekana Ni fast Sana Ila Zina Bei Sana Nasikia Kuna silent ocean nisaidieni...
  9. Ritchy Breezy

    JamiiForums Tanzania Naombeni code za hii ndoto

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Naamini humu ndani watu Wana maarifa mbali mbali katika nyanja tofauti tofauti. Nipo na mahusiano na mwanamke mmoja ambae nmezaa nae mtoto mmoja. Siku kama mbili tatu nyuma nlikua nmetibuana nae ijapo sikuonyesha kwake ka amenikwaza Ila mawasliano nlipunguza...
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Naombeni tafsiri nimeota mpenzi wangu Irene kajifungua mapacha

    Hello family, Nisaidieni tafsiri ya ndoto hii nimeota mpenzi wangu Irene mtoto wa Hedaru mwenye Babu na Bibi wa huko Gonja Kighale amejifungua mapacha wote wa kike, ni mpenzi wangu miezi sita sasa, wakati huu hana mimba imekuwaje nimeota hio ndoto ya namna hii? Saidieni tafadhari tujenge...
  11. Uyu hapa

    JamiiForums Tanzania Wataalam wote wa Biblia na Theology, naombeni ushauri wenu

    Kwanza kabisa nawasalimu Sana. Karibu Moja Kwa moja kwenye Uzi huu. Kwa Muda mrefu nimekuwa nikivutiwa na Elimu ya theolojia. Baada ya kuvuta subra, nimeona niingie rasmi kwenye theolojia. Baada ya kutafakali Sana. Nimeona niwashirikishe Wana JF ambao teari mmepita huko kwenye vyuoni vya Elimu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini neno Ambulance kwenye gari la wagonjwa huwa linageuzwa?

    Kwa nini kwenye AMBULANCE maneno ya hapo mbele huwa yanagezwa?
  13. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI nimeshatuma maombi tafadhali naombeni koneksheni sasa

    Kama waziri alivyotangaza nami naomba niseme nimechangamkia fulsa. Kwenye akaunti nilitakiwa kuweka barua na machaguo tu. Niwapongeze kwahili maana adha ya kuscan mavyeti Kila wakati imeondoka. Kam nilivyosema hapo awali kuwa nimehitimu mwaka 2017 masomo history na Kiswahili na nimechoka kukaa...
  14. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, Mke wangu ana mimba nyingine

    Habari muda huu Wana JF poleni na majukumu mbalimbali na ramdhani Kareem kwa ndugu zangu waislamu. Juzi siku ya jumamosi mke wangu alianza kutapika uku akilalamika anajisikia uchovu, leo Imebidi nimpeleke hospital kwa ajili ya vipimo Mana Hali iliendelea vilevile, baada ya vipimo imegundulika...
  15. Cute Msangi

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnipokee

    Jina cute msangi Age 27 Jinsia mwanamke Jamani Mimi ni member mpya humu jamii forum naombeni mnipokee. Asanteni 🥰🙏
  16. R

    JamiiForums Tanzania Waliotengeneza invoice kubwa siyo watumishi WA umma, NI kampuni iliyopewa dhamana yakutengeneza ndege ya mzigo. Kwanini tunawaogopa kusema ukweli?

    Ninavyoelewa mimi madai uandaliwa na anayedai na kuwasilisha pamoja na vielelezo Kwa mdaiwa. Kama ndivyo naamini kampuni iliyotengeneza ndege zetu ndiyo iliyowasilisha madai ya kiasi wanachoidai serikali. Kama pia tunakubaliana hapo maana yake aliyepandisha bei ya ndege ikawa mara mbili NI...
  17. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu kwenye hili

    Signed Out
  18. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Mliopo kwenye ndoa naombeni uzoefu wenu

    Hivi kwa mwanamke anayefanya kazi baa au mdangaji anaweza kuwa wife material na akatulia kabisa kwa nyumba?
  19. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa mnyauko wa majani ya viazi mviringo

    Wadau, naombeni kuuliza ugonjwa wa mnyauko wa majani ya viazi mviringo unasababishwa na nini na tiba gan iinahitajika?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila binti ninaemtongoza anakataa, anasema ananiona kama kaka, mtu hatari!

    Short and clear, najihisi na shida wakuu. Kila binti ninaemu-approach anakata, anasema aniona mimi kama kaka pia kama mtu hatari sasa sijui shida ni ipi? Pia nakumbuka kipindi nipo advance ( form six), mmoja wa mwalimu alinambia mimi kumpata mpenzi nikifika chuo itakuwa ni kazi, nilipimuuliza...
Back
Top Bottom