Naombeni tafsiri ya huu wimbo

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,876
2,744
Unaitwa "Tizita" na ameimba mwanamama anaitwa Aster Aweke. Naupenda sana kwenye melody yake na unanipaisha sana. Sasa usijekuta anazungumzia kilimo au baa la njaa huko kwao nami naweka fantasy zangu.
Tizita
Tizita.JPG
 
😅😅😅😅😅😅 mbona anazungumzia mafuriko humo😅😅
 
“inoralehu desitani āt’ichē”

Umefanya nimkumbuke Baba angu ndo alikua anapenda nyimbo za hivyo

“Enewei huo wimbo anazungumzia jinsi alivyotenganishwa na mpenzi wake, rafiki yake and since hapo hakuwa na furaha, she lost her happiness, she live without happiness

“My friend May our love be remembered, it should be remembered”💔
 
Shukrani kwa kidokezo mkuu. I wish ningeupata neno kwa neno
 
Unaitwa "Tizita" na ameimba mwanamama anaitwa Aster Aweke. Naupenda sana kwenye melody yake na unanipaisha sana. Sasa usijekuta anazungumzia kilimo au baa la njaa huko kwao nami naweka fantasy zangu.
Tizita
View attachment 2481008
Kisha nikatazama upande wa pili na kutazama pembeni

Natamani ningeishi. ninakukosa rohoni
Pembe ya macho yangu inaacha machozi
Kumbukumbu nyingi zilibaki kwangu
Rafiki yangu, mpenzi wangu
Tumesikitika sana
Nimefungwa na hamu yako
Usiku na mchana katika ndoto zako
Wakati upendo ni mfupi, huvaa moto

Kumbukumbu yangu, rafiki yangu
Upendo wetu ukumbukwe
Inapaswa kukumbukwa

BAADHI MENGINE SIJUI
 
Nice song. Angalau napata mwangaza sasa. 🙏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom