Waalamu wa taa zamagari naombeni msaada terch tafadhali

John mungo

JF-Expert Member
Dec 8, 2013
1,008
1,023
Habari ,Kijana mwenzenu nipo katika kupambana na life katika sekta ya ufundi taa za magari .Bado sija iva sana,na ndio kisa cha kuomba msaada wa ujuzi .Nina katakana ya kusafisha taa za magari,sasa nimekutana na changamoto ya ile chrome ndani ya taa imekufa kabisa kiasi cha kufanya taa isiwe na mwanga kabisa,sasa nikapata wazo la kuuliza humu ndani ikiwa naweza kupata utaalam jinsi ya kuipiga napia upatikanaji wake.Awali nilitumia spray za kawaida na azikuleta mafanikio nilio taraji.
Naomba msaada jinsi ya upigaji na kuipata kwake.jambo la mwisho kuna aina flani ya nylon ya light blue huwa zina wekwa kwenye taa kwq nje inakuwa kama cover flani naomba mnijuze zina itwaje nita shukuru nikielekezwa jinsi ya kuzibandika ili na mimi niongeze kitu katika ufundi ambao ndio ajira yangu .ninaishi morogoro ifakara .Natanguliza shukran
 
Back
Top Bottom