naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hodi hodi

    Hodi hodi! Wenye mji, kwa mara ya kwanza kuwa member wa Jamiiforums, ingawa nilikuwa msomaji mzuri wa mahubiri yenu. Naomba mnikaribishe
  2. Huyu mlinzi wa Rais Samia Suluhu Hassan ananivutia sana

    Kama kichwa cha habari kinavyodai, kwa yeyote ambaye anaweza niunganisha na huyu mwanamama anayemlinda Mh. Rais naomba aweze kunipa connection ni wapi nitampata amekuwa akinivutia sana jinsi anavyotekeleza majukumu yake ya kiusalama kwa Mama yetu. Nipo tayari kumpa shamba langu la urithi la...
  3. Naomba kujua wapi nitapata Mtaalam/Daktari wa “Mental Health”

    Wakuu habari. Poleni kwa mishe na matatizo. Nahitaji mtalaam wa mental health (therapist au psychologist) kwaajili ya kunisaidia. At least mara 2 kwa week kila session angalau ya 2 hours. Location Dar bei iwe rafiki. Am not Okay na maisha yanazidi nipiga. Nashukuru.
  4. Kwanini sisi weusi tupo hivi?

    Hata kama ujabahatika kutembelea nchi za Europe au America. Lakini utakuwa umejionea kwenye social media Kuna baadhi ya vitu sisi weusi tumekuwa tunavipenda na vimekuwa sehemu ya utamaduni wetu. Mfano bling jewellery, hair(mfano extensions, wigs, n.k), cosmetics, vyakula na vingine vingi...
  5. Naomba ushauri, nashindwa kubajeti fedha yangu

    Habarini wakuu, Samahani mimi ni mwajiriwa wa serikalini ivi karibuni, shida yangu jmn siwezi kabisa kubajeti hela. Sawa mwanzoni mwa mwezi nanunua kila kitu. Ambacho nakuwa sina labda mboga mboga hizi. Na nikasema labda nitumiage 10 per wiki kutokana na mazingira ya kijijini. Sasa yani...
  6. M

    Naomba ushauri kwenye Experiment yangu niliyoifanya mwezi wa tatu 2021

    Asalaam aleykum! Wakuu kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Mnamo mwezi wa tatu mwaka huu 2021 baada ya kutafakari na kujiuliza mambo mengi kuhusu akili yangu na kugundua kwamba natumia asilimia ndogo sana ya akili yangu katika maisha ya kila siku wakati nina uwezo mkubwa sana...
  7. Haya mawe ni madini aina gani? naomba mnisaidie kuchunguza

    Habari jf? naomba mnisaidie kutambua kama hii ni mawe ya madini ama la? kuna mtu kaniuliza nimeshindwa kujua
  8. Msaada: Naomba sample ya barua ya likizo isiyo na malipo

    Habari za usiku waungwana? Ninataka kupumzika kazi kwa muda wa angalau mwaka mmoja au miwili. Kuna jambo nataka kulifanya la kibinafsi. Mimi ni mtumishi wa serikali. Aliyewahi kuomba likizo isiyo na malipo au anayefahamu kwa undani hili jambo anipe mwanga. Thanks
  9. Wadau naomba kujua ni wapi hapa Daslam wanatengeneza Bomba frem ya canter

    Wadau naomba kujua ni wapi kwa Daslam au Mwanza wanaunda frem ya 'Bomba ya canter
  10. R

    Naomba msaada kwa wenye uzoefu mikopo ya Azania bank kwa wanachama wa NSSF

    Wakuu nawasalimu. Naomba kama Kuna mtu ana uelewa na Hili anisaidie. Azania bank wanatoa mikopo kwa wanachama wa NSSF. Kama mtu aliachishwa kazi kipindi cha janga la Corona kwa sababu kampuni iliamua kupunguza wafanyakazi na hakutoa mafao yake NSSF na ameamua kutokuajiriwa tena anaweza kupata...
  11. Nimezidiwa na maisha, niokoeni Watanzania wenzangu

    Tafadhali husika na mada tajwa. Mimi siyo mgeni Humu Ila nimejisajili rasmi Leo. Hali yangu ni mbaya mno, Kwa sasa Sina mengi ya kusema Ila naomba nisaidie kazi yeyote Ili niweze kupata Milo na malazi WASIFU WANGU: 1. Nina miaka 25 2. Nina elimu ngazi ya higher diploma in project planning and...
  12. L

    Naomba kujuzwa kuhusu kozi ya Diploma in tropical animal health and production

    habari za wakati huu ndugu zangu,kama kichwa cha huu uzi hapo juu kinavyojieleza,tafadhali kwa wenye uwelewa wa hii kozi ya DIPLOMA IN TROPICAL ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION naomba kujuzwa kuhusu ajira zake baada ya kumaliza,kozi za kusoma degree,je inauhitaji kwenye soko la ajira kwa hali ya...
  13. M

    Kwa Upuuzi huu mkubwa waliousema Redioni, naomba kujua Elimu za Watangazaji Mwakapotela na Mkambala

    Mtangazaji Mwakapotela Magic FM "Hata kama kuna Ndege ya moja kwa moja kwenda Marekani lakini haziruhusiwi mpaka Kwanza zitue Amsterdam wazipeleleze ndiyo ziruhusiwe sasa Kuruka kwenda huko" Mtangazaji Mkambala Magic FM "Siyo lazima hizi Ndege ambazo Serikali inazinunua nawe au kila Mtu...
  14. Wataalam wa Telecommunication au mawasiliano naomba mnisaidie kunielewesha hapa

    1. Nini kinachangia au kusababisha katika system meseji kugoma kwenda? Mfano unatuma sms inafeli, unarudia tena inafeli, unarudia tena inafeli unarudia tena inaenda? 2. Nini kinasababisha ujumbe kuchelewa kufika? Mfano, unatuma meseji saa 4 asubuhi lakini meseji inafika saa 9 alasiri. Tatizo...
  15. Naomba kueleweshwa suala la ndege ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi ya Tanzania Bara kupokelewa Zanzibar

    NAOMBA KUELEWESHWA SUALA LA NDEGE YA WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI YA TANZANIA BARA KUPOKELEWA ZANZIBAR. ZAA = Zanzibar TAA = Tanzania BARA Naomba kueleweshwa kwa Uhuru wa mawazo "the right to express my opinion under Article 18 of the Constitution of Tanzania of 1977" kuanzia zamani hakuna pa...
  16. N

    Gari zuri kati ya Subaru Forester, Toyota rumion, Nissan x-trail

    Wakubwa habari za jioni? Poleni na majukumu pia hongereni kwa kazi. Kubwa zaidi Naomba anayejua anisidie hapa. Nauliza lipi ni gari zuri,bora na imara kati ya Subaru Forester, Toyota rumion, Nissan x-trail,. Upatikanaji wa spare, nakadhalika kwa matumizi binafsi Kama vile kwenda kazini. Pia...
  17. H

    Naomba kutafsiriwa ndoto hii

    Mwenye uelewa na ndoto ifuatayo naomba anijuze: Nikuwa nikiota kwamba Mimi ni mwalimu na katika ndoto nimekuwa nikisimamia wanafunzi wanafanya mtihani wa hesabu, ndoto hii jimeiita Mara nne mfulilizo , na kiuhalisia Mimi si mwalimu,na Wala sitegemei kuwa mwalimu. Kinachonoshangaza ni Kwanini...
  18. Wakali wa Music Naomba Kujua Huu ni Wimbo Gani Wakuu...?

    Heshima kwenu wakuu...? Naomba msaada wa kujua huu Wimbo niliuskia kama miaka mitatu nyuma wakuu. Huu Wimbo ni Wimbo wa South Africa kama skosei, upo kimajonzi flani hivi, natumai kuna wadau ambao ni music addicted wanaweza kutupa jina la Wimbo au walioimba Wimbo huu. Natanguliza shukran...
  19. M

    Naomba ufafanuzi kuhusu course ya information system!

    wakuu samahanini nilikuwa naomba ufafanuzi kuhusu course ya bachelor of science in information system kweny upatikanaji wa ajira zake na hata uwezo binafsi wa kujiajiri..m ni first year mtarajiwa
  20. M

    Mambo ya Udhamini wa NBC na TFF nawaachieni nyie Mimi naomba tu kujua je, Boss wa NBC ni Simba au Yanga?

    Ninasubiri majibu yenu ili nitiririke sasa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…