Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,664
- 2,516
1. Nini kinachangia au kusababisha katika system meseji kugoma kwenda?
Mfano unatuma sms inafeli, unarudia tena inafeli, unarudia tena inafeli unarudia tena inaenda?
2. Nini kinasababisha ujumbe kuchelewa kufika?
Mfano, unatuma meseji saa 4 asubuhi lakini meseji inafika saa 9 alasiri.
Tatizo linasababishwa na nini?
3. Unatuma pesa kutoka mtandao A kwenda B, lakini hela haifiki kwa wakati husika.
Hii inasababishwa na nini?
4. Unajiunga zako kifurushi lakini cha ajabu haupewi taarifa kama umeshajiunga. Mbaya zaidi hata ukipiga menyu ya kuangalia salio huwezi kutumiwa meseji kwa wakati muafaka.
5. Nini kinasababisha internet kuwa ma spidi ndogo?
Nini kifanyike ili iwe na spidi kali?
Yangu ni hayo tu, nategemea kupata majibu kutoka kwa mainjinia, IT na wataalamu wa sekta ya mawasiliano.
Asanteni
Maswali mengine yatakuja baadae