naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je,hatukuambiwa umeme wa gesi ya Mtwara ukikamilika tatizo la umeme litakuwa historia?

    Nakumbuka kila kiongozi mwandamizi wa serikali ya awamu ya 4 akiwa kwenye tv alikuwa anahubiri ukomo wa tatizo la umeme pale mradi wa umeme wa gesi ya Mtwara utakapokamilika. Kulikuwa na uzinduzi mwingi tu sijui wa Kinyerezi one, sijui terminal two. Tulihakikishiwa mradi ukikamilika hakutakuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri "huyu" mtoto aende wapi na akasome nini?

    Habari waungwana. Nina mtoto hapa ambaye matokeo yake ya Kidato cha nne ni Kama ifuatavyo. Amepata "C" katika Civics, Kiswahili, Chemistry na Biology. Amepata " D" katika History, Geography, Literature, English, physics na Hisabati. Hivyo ana "C" nne na " D" sita. Division three point 24.
  3. JamiiForums Tanzania Wana-Simba, naomba mjibu maswali yafuatayo

    1. Bado mnaamini mna timu bora? 2. Bado mnaamini GSM anawahujumu? 3. Bado mnaamini mnakamiwa? 4. Bado mnaamini Simba Sc itawapa raha msimu huu kwa soka safi? 5. Bado mnaamini timu yenu ipo competent kupambana shirikisho? 6. Bado mnaamini Mo ni muwekazaji kwenye timu yenu? 7. Bado mnaamini...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kupatiwa syllabus ya somo la Kichina kwa shule za sekondari

    Wakuu mada hapo juu yahusika. Naomba kupatiwa nakala hapo juu. Natanguliza shukran
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba msaada Wadau

    Naomba kufahamishwa mitandao ambayo angalau unaweza kupunguza misongo ya mawazo. Cartoon, vichekesho, nk. Nimejaribu nimeona nyingi zinakuwa za matusimatusi. Hizo hapana.
  6. JamiiForums Tanzania Sisi ambao hatutekwi na Wahubiri Waongo wa Miujiza ndiyo hatuna Akili au waliotekwa nao ndiyo hawana kabisa Akili?

    Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako. Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti kati ya 'Utamaduni wa Makabila' na 'Ushirikina wa Mwafrika' kwani kuna Mtu anatupeleka 'Kibla' tuparaganyike

    Kuna Mtu Mmoja kwa mbali anataka Kutuchezea Akili Watanzania akidhani ni 'hamnazo' wakati wenye Akili tumeshamshtukia kuwa ni Mdau wa Utamaduni wa Mwafrika ambao kwa uelewa wangu kwa 85% unahusisha mno Uchawi (Ushirikina) hivyo basi anataka Kulilazimisha hili Ubongoni mwetu ili awe Huru nalo na...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ateuliwa na CCM kugombea Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Akiongea na wanahabari, msemaji wa Chama cha Mapinduzi, Shaka Hamdu Shaka amesema chama kimeptisha Tulia Acksoni kuwa mgombea wa kiti cha uspika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia soma: Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania PERSONAL DETAILS...
  9. JamiiForums Tanzania TCRA Naomba fuatilieni hii kitu hawa watu wanatapeli watu sana

    Leo nimetumiwa message kutoka kwenye namba +255733326905 kuwa nimeshinda Biko ya milioni 5 waliniona mimi ni zuzu wa kuona milioni tano nitahaha. Wakanipa maelekezo nipige kwenye namba hii 0719254427 Nawaomba cyber polisi na TCRA fuatelieni nyendo za hizi namba mishowe mtamkamata huyu mtu. +
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au internship nipo Mwanza

    Habari za wakati huu wakubwa zangu mawapa heshima yenu na vijana wenzangu natumai pia muwazima ahsante. Naomba muniwie radhi lakini mficha dhara kifo humuumbua.Naitwa Mhina nipo naishi Mwanza ni mhitimu wa stashahada ya uhasibu(Diplomoa in Accountancy). Dhumuni la kuandika thread hii ni kuomba...
  11. JamiiForums Tanzania Naweza kufanya graphics kwa kutumia mobile apps, je naweza kupata kazi?

    Huwa nafanya Graphics lakini natumia simu na nishafanya na watu baadhi hususani wanaotengeneza products kama mafuta,unga lishe, album cover na vingine. Lakini kitu ambacho huwa nashindwa niombe Ajira vipi? Kwasababu 1) Sijasomea hii issue 2) Natumia mobile apps kufanya Hizo graphics Kama...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu kutolewa kizazi

    Habari wana jukwaa.Mwenza wangu ametakiwa kuondolewa kizazi kwakua kina uvimbe. Sasa swali langu je akitolewa kizazi dushe si itakuwa kama inaingia kwenye ndoo? Au haina athari hiyo? Tafadhali naomba kuelimishwa naamini jf kuna wanao fahamu hukusu hili.
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kujua 'Logic behind' Ikulu mpya ya Dodoma kufanana Kiujenzi ( Kiramani ) na hii ya Dar es Salaam

    Kama tunajenga Ikulu hiyo hiyo kama ya Dar es Salaam nini maana ya Wasomi wetu hasa wa Ujenzi kuhimizwa zaidi Suala la Ubunifu ili Kupendezesha eneo na hata Mazingira pia? Nayasubiri tu majibu yenu Wapendwa.
  14. JamiiForums Tanzania Hapo zamani, unakumbuka nini?

    Mwaka wa baraka
  15. B

    JamiiForums Tanzania Napendekeza sheria itakayoshurutisha watumishi wa umma kufanya kazi miaka 10 pekee kisha wastaafu na kujiajiri

    Wanajukwaa, Naomba kupendekeza ili kupambana na janga la ajira, kuanzia sasa watu wanaoajiriwa katika sekta za umma wafanye kazi for only 10 years then wastaafishwe watumie walichopata kujiajiri. Hii itahakikisha kuwa nguvu mpya kutoka vyuoni inapata nafasi ya kutumikia taifa na kuongeza pia...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu NMB Loan

    Samahan wanaforum..Mimi nliuza mkopo NMB kutoka faidika na bayport na kwenye salary slip deni linaonesha 7,880,000 kila mwezi nakatwa 247,000..Sasa naulza deni linaloonekana kwenye salary slip ndo hilo likiisha basi haudaiwi au kuna deni lingne lisiloonesha kwenye salary slip?
  17. JamiiForums Tanzania Naomba Jina la Wimbo wa Taarab Samia Suluhu aliokua akicheza kwa kudemka huko Zanzibar.

  18. JamiiForums Tanzania Naomba udhamini wa masomo ya udaktari

    Naitwa Hussein Masoud,ni clinical assistant (CA),nipo Mwanza mjini katika chuo cha afya na sayansi shirikishi BWIMA kilichokua kikitambulika kama victoria zamani, kwa sasa nimebakisha mwezi mmoja nifanye mitihani yangu ya kuhitimu diploma in clinical medicine level 6 itakayo fanyika February...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba Viongozi wasitumie tena maneno yafuatayo kwenye hotuba zao

    Kati ya mambo yanatufanya tuwe na uelewa mdogo ni kuona viongozi wanajipendekeza kupita kiasi. Viongozi wasitumie maneno yafuatayo inapokopa. 1. Serikali ya Samia imekopa. 2. Rais amekopa. Badaya yake watumie neno lifatalo ili kuleta ufanisi. 1. Nchi imekopa.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hotuba yako imejitoshela ila naomba nikosoe maeneo mawili Kwa kesho nzuri ya Tanzania

    Naomba kukupongeza Kwa hotuba nzuri inayoeleza kinaga ubaga umefanini na unategemea kufanya Nini huku ukiweka wazi vyanzo vyote vya fedha Kwa Kila mradi, nimependa umekuwa wazi kuonyesha namna tunavyohitaji mahusiano yakimataita kujenga uchumi Pamoja na hotuba nzuri nimejisikia vibaya kusikia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…