naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Michael mbano

    JamiiForums Tanzania Degree tatu huwa zinakuwaje?

    Mtu anayekuwa na digrii 3 au zaidi je anakuwanazo ktk fani tofauti? Na je ipi maana ya phd kwa kirefu? Na masters nini na ktk hao yupi yupo juu? Nasubiri
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kabla ya Saa 7 Kamili Mchana leo mniambie mnataka Kocha Pablo aanze na Kikosi kipi Kati ya hivi Viwili viifuatavyo?

    Kikosi A 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Kennedy Juma 5. Henock Inonga 6. Jonas Mkude 7. Pape Ousmane Sakho 8. Rally Bwalya 9. Kibu Denis 10. Meddie Kagere 11. Bernard Morrison Kikosi B 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Pascal Wawa 5. Henock...
  3. clinton gidioni

    JamiiForums Tanzania Naomba kujitolea kujifunza kazi yako, unilipe pale nitakapoweza baadhi ya majukumu

    Habari wapendwa poleni na majukum. Naomba kujitolea kujifuza nipo tayari kuwekeza MDA AKILI NA NGUVU. Mimi ni kijana wa kiume miaka 28 mkazi wa dar Elimu kidato cha nne. Tadhali wapendwa naomba kujitolea kujifunza sichagui fani au kazi ya kujifunza ila naomba pale nitakapo jifunzia ndio nije...
  4. Guga guga

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa serikalini wa Assistant Procurement Officer kwa level ya Diploma ni Tsh. ngapi?

    Habari za Humu wana Jukwaaa, naitaji kujua kima cha Mshahara wa Aliyeajiriwa na diploma ya procurement serikali kada ya Assistance procurement officer/ Assistance Supllies officer naombeni Majibu
  5. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Leo kwa mara nyingine mbio za mwenge zimeanza tena Tanzania, na safari hii mwenge umewashwa huko Dole Zanzibar kuendeleza ile adhma ya taifa letu changa kuwa "sisi tumekwisha kuwasha mwenge na kuuweka Kilimanjaro". Mwenge huu ulipowashwa mara ya kwanza na kuwekwa kwenye kilele cha Kilimanjaro na...
  6. Mwandwanga

    JamiiForums Tanzania Nukuu muhimu toka kwa Baba wa Taifa Hayati Mwl. J. K. Nyerere

    WanaBodi Wasalaam, Zifuatazo ni baadhi ya nukuu za Hayati Mwl. J. K. Nyerere unaweza zisoma na kuweka komenti kwenye nukuu moja wapo ukihusianisha na Tanzania ya leo. "Amini nawaambieni enyi Waswahili wachache mnaotawala; mnategemea kweli kuwa mtawaongoza Watanzania kwa lazima wakati...
  7. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Naomba mnifahamishe kazi kuu ya hiki kifaa na bei yake pia madukani

    Wakuu hiki kifaa naomba kujua kazi yake kuuna bei yake pia ikiwezekana.. Naweza kuipata maduka gani?
  8. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni yenu kuhusu ajira kwa vijana nchini

    Nina wazo au proposal ambayo inahusu mradi mkakati mdogo utakaohusu kilimo na ufugaji kwa vijana waliohitimu vyuo nk. Kama mnavyojua tatizo kwenye jamii ni fursa pia tena kubwa nimeandika proposal ambayo itakuwa inakusanya vijana kuanzia 50-100 kufanya kwa pamoja mradi wa kilimo na ufugaji...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Meneja wa kivuko cha Busisi anaibia abiria chenji zao akishirikiana na wakatisha tiketi. Prof Makame Mbarawa naomba umulike.

    Leo asubuhi nikitokea Sengerema nimeshuhdia hili. Nauli ya kivuko ni sh 400 ukitoa buku unarudishiwa sh 500 badala ya mia sita. Mkatisha tiketi anachenji kibao za mia tano miatano lakini mezani hana mia hata moj. Nimerudi jioni hii nimetoa buku mbili nimerudishiwa buku jero. Ina maana kila...
  10. Wababa13

    JamiiForums Tanzania Maswali yanayotoka kwenye Tax Management Assistant II ni ya muundo upi?

    Habari za muda huu. Naomba kufahamu kwenye hizi nafasi za kazi TRA kwenye kipengele cha Tax management assistant II ni maswali gani wanatoa na yanatoka kwenye kitabu kipi? Note:- diploma holder
  11. Titia

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nataka kufuga kuku chotara kidogo kwa ajili ya kuongeza mzunguko wa hela

    Habari wana jamii, Naomba mnishauri, mimi ni mfanyakazi serikalini. Muda mrefu nafikiria biashara ya kufanya lakini nashindwa. Sasa hivi nimeamua kuanza kufuga kuku chotara. Nataka kununua kuku chotara vifaranga mia moja. Nivitunze na kuvilisha vzr, lengo nataka muda ukifika 40 niviuze halafu 60...
  12. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa, utamaduni wa kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa viongozi waliokwishafariki ulianzia wapi?

    Kufuatia maandalizi ya maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa baba wa taifa la tz, hayati mwalimu Julius Kambarage Nyerere, naomba kufahamishwa kama kumewahi kuwa na desturi au utamaduni kwa jamii za kiafrika; kusherehekea siku za kuzaliwa kwa viongozi waliotangulia mbele za haki au hata kwa...
  13. Sagungu 1914

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kama serikali ya kijiji ina mamlaka kisheria kugawa kiwanja cha mtu bila idhini yake

    Ndugu kiwanja chetu cha familia kilivamiwa na mtu ambaye alikuwa jirani yetu kwa kipindi hicho, tulipokuwa tunamwambia atoke kwa mdomo alikuwa anasema kuwa hawezi toka kwani amepewa na serikali ya kijiji baada ya kuona hicho kiwanja hakiendelezwi. Tulipofungua kesi mtendaji anasema eti huyu...
  14. Hassan sele jr

    JamiiForums Tanzania Kuna ulazima kwa mwenye leseni Daraja C kusoma tena C1, C2, C3?

    Hivi kama umesomea na una leseni daraja C, Kuna ulazima wa kusoma tena C1, C2, C3? Huwezi kutumia C kuendeshea hizo☝️? Wanahusika na kuendesha magari ya aina gani? Eti hili uwe na leseni daraja C ni lazima uwe na (PSV)?
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie huu mjadala, hivi mwanajeshi anaweza kupata mamlaka, nguvu na heshima kama anayopewa polisi ?

    Habari yeni wanajamii forums, kuna ubishi hapa wa nani ana nguvu na mamlaka makubwa kati ya polisi na mjeda (mwanajeshi) kwa maoni yangu naona polisi ndio wana nguvu kubwa zaidi, najua wana uwezo huu (kama nimekosea mnisahishe) -wao ni law enforcers -wana kibali cha kumuweka chini ya ulinzi...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Wapendwa naomba ufafanuzi aliyefufuliwa baada ya kuwa amekufa kwa muda wa miaka Mia?

    Ndugu zangu nyote hamjamboni? Nimeweka aya hapo chini nikiomba ufafanuzi wake Kama nimekosea aya hiyo basi naomba radhi na pia nikiomba nisahihishwe Mungu awabariki Sana ✓(Quran 2: 259) Au kama yule aliye pita karibu na mji ulio kwisha kuwa magofu tu, akasema: Ataufufuaje Mwenyezi Mungu mji...
  17. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hizo Binary namba kwenye chat tunazipataje!

    Sijaelewa hizo Bunary number zinapatikanaje au ni fixed?
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali hiki 'Kirusi' naomba kidhibitiwe upesi kwani '(ikizoeleka' huko mbeleni kitakuja kuwa na Madhara makubwa na Kitatugharimu

    Hujawa Rais ili uje Uwainue Wanawake Wenzako kwa Gharama za ama Kuwadharau au Kuwadidimiza au Kuwakomoa Wanaume bali umekuwa Rais wa Watanzania Wote tu Waume kwa Wake ( Jinsia Mbili zenye Kutengeneza Muunganiko wa Kimaendeleo ) kwa Ustawi wa Mama Tanzania na Kizazi chake. Nanyi Viongozi wa Kike...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu utaratibu wa kutuma maombi ya ualimu (Nacte)

    Naomba kuuliza hivi Maombi ya Ualimu kwa ngazi ya cheti na Diploma (NACTE) Bado yanaendelea ? Na utaratibu ukoje msaada tafadhali
  20. kababu

    JamiiForums Tanzania Mohammed Shabiby: Namna ya kupunguza bei za mafuta kwa 50% ya bei za sasa

    Shabiby atoa mwarobaini kupanda bei mafuta MBUNGE wa Gairo Mohammed Shabib ameitaka Serikali kuruhusu kampuni binafsi kuagiza mafuta wenyewe bila kutumia uagizaji wa pamoja. Shabiby ametoa ushauri huo leo Jumatano tarehe 6 2022 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Ofisi...
Back
Top Bottom