Wakuu nimekutana sana hayo maneno katika usomaji wangu wa nyuzi mbalimbali za kijasusi hapa Kwenye kampuni yetu na nimekua nahangaika ku crack hizi code leo nikasema nisife na tai shingoni najua kuuliza ni ujinga acha leo nitoke kwenye huu ujinga japo naweza kupata nuru kwenu wana jamvi...
Naomba msaada nimeona soundcard nzuri Ebay bei yake ni nzuri ukiacha na shiping cost kuna icho nakisikiaga custom fee na Import fee zikoje kwa bidhaa ka hiyo ninayotaka?
Habari za leo wadau!
Husika na kichwa cha nyuzi hapo juu.
Naomba kujua kwa hapa Dar es Salaam - Kariakoo Ni Sehemu gani naweza kupata vyombo vya nyumbani kwa bei ya jumla ya chini.
Nahitaji maelekezo yalipo maduka hayo.
Natanguliza shukurani.
Habari kwa wajuzi wa majengo,nyumba,apartment naomba kujua gharama za hii ramani kwa ujumla. Nature ya eneo lako ni tambarare, kumbuka makadirio ya KIASI CHA PESA TU.
PICHA NUMBER 1
PICHA NUMBER 2
Natanguliza shukranii
Mamlaka ya Ubelgiji imekabidhi jino la kiongozi wa uhuru wa Congo Patrice Lumumba, kwa familia yake katika hafla iliyofanyika Brussels. Jino hilo ni sehemu pekee ya mabaki ya mwili wake ambayo inadhaniwa kuwa bado ipo baada ya kunyongwa na kisha mwili wake kuyeyushwa kwa tindikali mwaka 1961...
Kwa hapa nchini. Au mpaka kuagiza? Naona features&specifications zimenivutia.
Screen kubwa 6.8
Battery kubwa 5000 (japo charger watts ndogo)
Storage na RAM
Muundo wake unavutia. Nn.k
Sasa naomba mnijuze bei yake upatinanaji wake kwa hapa nchini
Habari zenu wakubwa kwa wadogo.
Najua nafasi za kujitolea hazinaga mshahara ila baadhi ya mashirika au taasisi huwa wanatoa walau pesa ya nauli na chakula
Je kuna mtu yeyote humu kashawahi kujitolea kwenye hili shirika la MDH
Mana ingawa hakuna mshahara ila ni vyema nikajua kama wanatoa walau...
Habari za muda huu!
Samahani sana naomba kwa anaejua namna nzuri ya kuandaa siki ya mbilimbi iwe nzuri na tamu, kwa kutumia viungo mbalimbali kama vile nazi; pilipili; nyanya na kadharika.
Maana nina mti wangu hapa nyumbani umezaa sana na sijui namna bora ya kuandaa siki hiyo.
Najua humu ndani...
Habari wana JF wote,
Nyumbani kwangu huwa kunatokea matukio ambayo mimi nayaita ya ajabu kwani kuna mtu nisiyemfahamu anajisaidia haja kubwa pembeni kabisa ya nyumba yangu sasa sijui anakuwa na lengo gani.
Sasa nataka nijue kama anafanya ulozi au nini! Na kama ni ulozi nini itakuwa dawa ya...
Naomba kujua utaribu wa kusafirisha bidhaa kutoka zanzibar kuja Dar, mfano Tv na baiskeli.
Nategemea kuanza kuuza Tv na kukodisha baiskeli huku mkoan, hivyo nimeona kunagharama nafuu sana kupata bidhaa hiyo Zanzibar japo sijajua utaratibu upoje.
Hii ni kutokana na kodi za nchi yetu ni kila...
Naitwa godfrey Nimesomea IT level ya degree nina uzoefu wa kufundisha chuo miaka miwili certificate na diploma...naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote
Habari wakuu nimefurahi kweli kujumuika na nyie nimeshindwa kuandika mengi vidole vinauma kwa kutype I hope tutakuwa pamoja katika mada mbalimbali jukwaani
Habari wana jamvi
Leo ningependa kufahamishwa zaidi kuhusiana na utt.
Jinsi inavyofanya kazi. Jinsi ya kununua kama unaweza kujisajili na kuwekeza kwa watu tulio mbali na DSE
Jinsi ya kupata faida na jinsi ya kutoa pesa
[emoji116][emoji116][emoji870][emoji113][emoji870][emoji113]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.