naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kumfahamu Reccep Tayyip Erdogan na Uturuki kwa ujumla

    Nilikuwa namchukulia mwepesi kwa wakubwa wa ulaya kama Romania au Estonia tu. Ila naona kama inabidi nimtafakari mara mbili mbili; Alipinduliwa na ghafla mapinduzi yakazimwa, walioshiriki wote wamesakwa jeshini na wameshakamatwa. Alifika mpaka tz huyu mtu, sijui alimwambia nn jpm lakini...
  2. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya English Gold & pure gold

    Wadau, hasa wale wa mambo ya urembo hv vitu viwili nimekuwa nikivisikia sana na mpaka leo sijajua utofauti mkubwa ni upi maana Kuna mama mmoja aliwahi kunionesha Pete zake 2 akanambia moja ni English Gold na nyingine na gold Ila nilizicheck yaaan zinafanana sana ung'aaji wake na vitu kibao...
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wakuu samahani nilikuwa sipo mjini hivyo naomba kufahamu Kama banda la kujifukiza Bado lipo?

    Wakuu lile banda pale Muhimbili Bado lipo la kujifukiza naomba kujua maana naskia mzee wa Chapa ilale mara ya mwisho aliingizwa kwenye banda na ndo ikawa Mwisho wake. Nipo huku nje ya mji nipeni Update wakuu.
  4. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Naomba tushiriki kuwatakia heri Makomandoo wetu Adamoo na wenzake Mungu awape afya njema na nuru uraiani

    Jamani sina mengi nimewiwa kushiriki kuwatakia heri hawa makomandoo walimu na wazalendo, wawe na heri ya afya na nuru njema ya Maisha uraiani. Karibuni Sana Mungu awabariki note.
  5. Wababa13

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu jinsi ya kuagiza bidhaa Amazon

    Msaada ndugu zangu naomba mnipe procedure za kuagiza bidhaa kwa kutumia Amazon. Wana free delivery au?
  6. Kylen stone

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa kwenda Chuo cha Ufundi Arusha, naomba muongozo

    Habari zenu wakuu, Nimechaguliwa kwenda chuo Cha ufundi Arusha (ATC), sasa nilikuwa naomba muongozo nini cha kufanya kwasababu nimeingia kwenye website yao siielewi. Napiga simu haipokelewi. Nilikuwa naomba msaada wenu
  7. A

    JamiiForums Tanzania Member mpya naomba mnikaribishe

    Habar wakubwa humu jf naomba mnikaribishe member mpya hapa the War machine
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mimi naomba Ushauri Bibi Yangu yupo na watoto 09 wote are Mutured hila wanashindwa kumlipia bill zake zote.

    Wakuu hiko hivi I have a Grandmother Called Bibi Haya Kufupisha story siku ya Eaid Nilipewa taarifa kutoka Bukoba kwamba Bibi Hana Mboga ya Eid so niliombwa kutuma pesa kias Flani hivi kukamilisha Mlo mujarabu wa Eid. Kiufupi nilimtafta Jamaa yangu mmoja yupo kijijini mahali anapokaa my Bibi...
  9. Rangooo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike wa awe mstaarabu n.k

  10. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, girl friend wangu amepata ujauzito miezi 3 baada ya kujifungua

    Wakuu, naombeni ushauri wa kitaalamu, mpenzi wangu alijifungua mwezi Januari mwaka huu. Mwezi wa 4 katikati akaomba game kwani ameimisi muda mrefu(hatuishi pamoja). Ajabu mwezi huu hajaona siku zake na ameenda kupima amekutwa na mimba tayari. Naombeni ushauri, je hii mimba anaweza kuibeba na...
  11. JF Member

    JamiiForums Tanzania Naomba Uzoefu wa zao la nazi

    Kwa haraka haraka nimeambiwa hiki kilimo kina lipa. Naambiwa shina Moja la Nazi linatoa Nazi 15 hadi 20 kila baada ya miezi 2. Ukiwa na mashina 1,000 una Nazi 15,000. Ukiuza kwa 600 kila Nazi ( 1,500 x Shilingi 600) ni sawa na Shilingi 9,000,000 kila baada ya miezi miwili. Wastani wa...
  12. aise

    JamiiForums Tanzania Naomba maelezo ya huyu kiumbe wa ajabu

    Kwa mara ya kwanza nimeona kiumbe wa ajabu, anaitwa "AXOLOTL" Naombeni maelezo ya kiswahili kumuhusu. Kwa haraka haraka nimesikia ukimkata kiungo fulani cha mwili (mguu etc), eti kinaweza kuota kingine baada ya muda fulani. Kama hilo ni kweli kwanini wana sayansi wasifanye sayansi zao...
  13. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa computer naomba kujua kuhusu "HP laptop"

    Nimeona kuna computer nyingi sana aina HP, ususani nataka kujua kuhusiana na izi laptop aina ya HP, nataka kujua zipi lianza kutoka mpaka muda huu zipi ndio zipo updated sokoni, (hapa nataka kueleweshwa mfano kama ulivyo Iphone, ilianza iphoe1, ikaja iphone2, ikaja iphone3, ikaja iphone4...
  14. Wababa13

    JamiiForums Tanzania Nina Ordinary Diploma ya Maendeleo ya Jamii, kwenye mfumo wa ajira portal hii ndo inaitwa Diploma/FTC naomba msaada?

    Habari zenu wadau ivi kwenye mfumo wa Ajira Portal ile Diploma/FTC ni special kwa mtu aliye na kiwango kipi cha elimu?
  15. Mesja

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu plz

    Je naweza nikatoka nje ya nchi yangu,nikawa natumia namba yangu ya simu nayotumia au natakiwa kubadilisha mtandao
  16. Mesja

    JamiiForums Tanzania Kuna bus linalotoka Tanzania hadi Ghana?

    Naomba kujua kuna bus Linalotoka Tanzania hadi Ghana
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayojili Zanzibar kuna haja ya kuomba uraia wa visiwa hivyo. Naomba mnipe utaratibu wa kupata uraia

    Kwanza, mafuta bei yake iko chini huko Zanzibar. Pia maisha ya Wazanzibari ni nafuu mno kwasababu hakuna mfumuko wa bei. Pili, ukitupia jicho kwenye umeme bei iko chini na ni karibu na bure. Mwaka huu rais wa visiwa hivyo alitangaza kuwa nguzo za umeme itakuwa bure Tatu, mwaka wa mwisho wa...
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

    Leo nimehudhuria msiba wa waluguru nimeona mambo ya kushangaza naomba mnisaidie maelezo. Mtu amefia nyumbani kwake tena chumbani kwake anapolala na mke wake. Sasa kwakuwa marehemu ni muislam wameamua kupitia mila ya waluguru kumuosha mwili wake mulemule chumbani. Kilichotokea wamechimba shimo...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

    Wanabodi, Hili ni bandiko la hojaji kuhusu uhusiano kati dini ya mtu na IQ yake, dini ya mtu na longevity?, dini ya mtu na udikiteta, na IQ ya mtu na elimu yake, na mwisho ni IQ ya mtu na kudanganyika kirahisi. Naomba Kuwatumia Marais wa Tanzania as Sampling factors. Haya ni maswali valid...
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu muda wa sensa

    Eti zoezi la sensa linaweza chukua Muda gani Tangu kuanza rasmi hadi kumalizika? Natanguliza Shukrani Ahsante #IjumaaKareem
Back
Top Bottom