Naomba kujua majina ya Wabunge Wajumbe wa Kamati ya Nishati wanaoitwa wapuuzi kwa kuhoji kuchelewa kwa Bwawa la JNHPP na tatizo la kukatika kwa umeme

Mtumishiwetu

Senior Member
Jul 13, 2022
187
334
Wana bodi siku ya jana kulizuka mjadala mkubwa wa kitaifa humu ndani kuhusiana na kauli nzito ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba ya kuwaita wabunge wajumbe wa Kamati ya Nishati ni wapuuzi kwa kuhoji suala la kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere na tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara nchini

Kwa heshima na taadhima kubwa naomba kuyafahamu majina ya wabunge hao ambao ni wajumbe wa Kamati ya Nishati wanaoitwa wapuuzi na Waziri Makamba.

Ili nasi tuchambue huo upuuzi wao

Mheshimiwa Spika, napenda kuwashukuru Wajumbe wote wa Kamati ya Nishati na Madini kwa ushirikiano wao wakati wa kutekeleza majukumu ya Kamati. Kwa heshima kubwa naomba kuwatambua kwa majina yao kama ifuatavyo:-
1. Mhe. Dunstan Luka Kitandula, Mb - Mwenyekiti
2. Mhe. Seif Khamis Said Gulamali, Mb- M/Mwenyekiti
3. Mhe. Alaudin Hasham Salim, Mb - Mjumbe
4. Mhe. Amina Bakari Yussuf, Mb - Mjumbe
5. Mhe. Catherine Valentine Magige, Mb- Mjumbe
6. Mhe. Hamis Mwagao Tabasam, Mb - Mjumbe
7. Mhe. Iddi Kassim Iddi, Mb - Mjumbe
8. Mhe. Jesca David Kishoa, Mb - Mjumbe
9. Mhe. Jesca Jonathan Msambatavangu, Mb - Mjumbe
10. Mhe. John Marko Sallu, Mb - Mjumbe
11. Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mb - Mjumbe
12. Mhe. Katani Ahmad Katani, Mb - Mjumbe
13. Mhe. Kenneth Ernest Nollo, Mb - Mjumbe
14. Mhe. Mariam Ditopile Mzuzuri, Mb - Mjumbe
67
15. Mhe. Dkt. Mathayo David Mathayo, Mb- Mjumbe
16. Mhe. Mussa Omari Salim,Mb - Mjumbe
17. Mhe. Musukuma Joseph Kasheku, Mb - Mjumbe
18. Mhe. Nicodemas Henry Maganga, Mb - Mjumbe
19. Mhe. Nusrat Shaaban Hanje, Mb - Mjumbe
20. Mhe. Saada Mansour Hussein, Mb - Mjumbe
21. Mhe. Robert Chacha Maboto, Mb - Mjumbe
22. Mhe. Eng. Stella Martin Manyanya, Mb - Mjumbe
23. Mhe. Ussi Salum Pondeza, Mb - Mjumbe
24. Mhe. Ameir Abdallah Ameir, Mb - Mjumbe
25. Mhe. Josephine Johnson Genzabuke, Mb - Mjumbe
26. Mhe. Mohamed Said Issa, Mb - Mjumbe
27. Mhe. Mwita Mwikabe Waitara, Mb - Mjumbe
 
Nani kati ya hawa wana utaalamu au uzoefu nje ya siasa katika sekta ya nishati??

Umeandika upumbavu mtupu. Hakuna sehemu Makamba kasema kamati ni wapuuzi. Hizo chuki zako peleka hukohuko.
 
Nadhani ni muhimu kuelewa kwanza kabla hujaleta utetezi sikiliza vizuri hiyo Video yeye mwenyewe amesema wanaohoji upuuzi mtupu ndio sasa iliyohoji ni Kamati ya Bunge ya Nishati na taarifa yake ilipostiwa humu kuhusu Bwawa na kukatika kwa umeme, usikubali kufanya uchambuzi kabla hujasoma na kusikiliza
 
Kumbe hadi Mwita Waitara yumo? na Jesca Jonathan Msambatavangu Mbunge wa Iringa ni wajumbe
 
Makamba kaeleweka vizuri ni chuki tu dhidi ya Wasambaa.
Wachukiwe wasambaa kwa sababu gani mbona hoja dhaifu sana hii.

Kifupi makamba kafeli kutupatia umeme bila kukatikakatika, gharama kuunganishwa zimepanda, na kumekuwepo na uchelewshwaji wa Bwawa linalojengwa linacheleweshwa kisanii.

Tunachoshuhudia ni bajeti kubwa ya matengenezo ambayo haijaleta unafuu tarajiwa.
 
Mheshimiwa Spika, napenda kuwashukuru Wajumbe wote wa Kamati ya Nishati na Madini kwa ushirikiano wao wakati wa kutekeleza majukumu ya Kamati. Kwa heshima kubwa naomba kuwatambua kwa majina yao kama ifuatavyo:-
1. Mhe. Dunstan Luka Kitandula, Mb - Mwenyekiti
2. Mhe. Seif Khamis Said Gulamali, Mb- M/Mwenyekiti
3. Mhe. Alaudin Hasham Salim, Mb - Mjumbe
4. Mhe. Amina Bakari Yussuf, Mb - Mjumbe
5. Mhe. Catherine Valentine Magige, Mb- Mjumbe
6. Mhe. Hamis Mwagao Tabasam, Mb - Mjumbe
7. Mhe. Iddi Kassim Iddi, Mb - Mjumbe
8. Mhe. Jesca David Kishoa, Mb - Mjumbe
9. Mhe. Jesca Jonathan Msambatavangu, Mb - Mjumbe
10. Mhe. John Marko Sallu, Mb - Mjumbe
11. Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mb - Mjumbe
12. Mhe. Katani Ahmad Katani, Mb - Mjumbe
13. Mhe. Kenneth Ernest Nollo, Mb - Mjumbe
14. Mhe. Mariam Ditopile Mzuzuri, Mb - Mjumbe
67
15. Mhe. Dkt. Mathayo David Mathayo, Mb- Mjumbe
16. Mhe. Mussa Omari Salim,Mb - Mjumbe
17. Mhe. Musukuma Joseph Kasheku, Mb - Mjumbe
18. Mhe. Nicodemas Henry Maganga, Mb - Mjumbe
19. Mhe. Nusrat Shaaban Hanje, Mb - Mjumbe
20. Mhe. Saada Mansour Hussein, Mb - Mjumbe
21. Mhe. Robert Chacha Maboto, Mb - Mjumbe
22. Mhe. Eng. Stella Martin Manyanya, Mb - Mjumbe
23. Mhe. Ussi Salum Pondeza, Mb - Mjumbe
24. Mhe. Ameir Abdallah Ameir, Mb - Mjumbe
25. Mhe. Josephine Johnson Genzabuke, Mb - Mjumbe
26. Mhe. Mohamed Said Issa, Mb - Mjumbe
27. Mhe. Mwita Mwikabe Waitara, Mb - Mjumbe
Mbona wengi hivyo? Hata 5 si wangetosha tu!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani ni muhimu kuelewa kwanza kabla hujaleta utetezi sikiliza vizuri hiyo Video yeye mwenyewe amesema wanaohoji upuuzi mtupu ndio sasa iliyohoji ni Kamati ya Bunge ya Nishati na taarifa yake ilipostiwa humu kuhusu Bwawa na kukatika kwa umeme, usikubali kufanya uchambuzi kabla hujasoma na kusikiliza
Kati ya watu wenye viburi kwenye nchi hii makamba yupo top 3 ila Jiwe alikiwa kiboko yake
 
Back
Top Bottom