Nipande ndege nikasome PhD au Nikomae na biashara yangu?

Liverpool VPN

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
5,793
13,034
Haloo is me "Mr. Liverpool" again.
Baada ya salamu, hebu tuingie kwenye hoja..

INTRODUCTION
Mimi ni kijana mwenye miaka 32.
Elimu yangu ni Masters ya mambo ya biashara.
Ni mwajiriwa wa Halmashauri moja wapo hapa nchini.

Mimi ni baba wa watoto wawili (kila mmoja na mama ake).
Wanangu huishi na mama zao ila kila likizo lazima waje kwa baba.

Mimi ni kijana ambaye SINA MPANGO WA KUOA japo nahitaji watoto wa5...!!

SCENARIO
Kiukweli kuanzia 2021 moyoni iliingia hali ya kuchoka sanaa kufanya kazi halmashauri.
Huu uchovu ulitengeneza sanaa hasira ya kuhama local government.

Hivyo hali hii ilisababisha nikawa natuma sanaa maombi ya kuhamia Taasisi mbalimbali huku na-apply sanaa scholarship za kwenda kusoma PhD ili mradi tu NIONDOKE HALMASHAURI.

Mwaka jana (2021) Wizara ya Utumishi ilitangaza nafasi ya ku-apply scholarship kwenda kusomea nje huko kwa level za post graduate.

Wakati huo nilikua nina hamu sanaa ya kusoma na kuhama halmashari.

Yaani akili ilikua inawaza ""Niondoke halmashauri au nikasome PhD nipumzike""

Mara nikapata scholarship ya PhD (Full Scholarship).

Hapohapo moja wapo ya maombi yangu ya kuhamia Taasisi moja yakatiki (Taasisi ipo Dar).
Hii Taasisi ilitangaza transfer nikaomba nikapata.

Nikiwa nawaza nihame au nikasome PhD nikashirikisha watu wakubwa wakanishauri ""Niende kwanza chuo/PhD maana hawadhani kama Taasisi inaweza kumruhusu mtumishi waliyompokea miezi kadhaa hata mwaka bado aende kusoma, huku wao walitangaza nafasi za transfer ili wafanye represement""

Hivyo kuhama nikaacha na kutamani sanaaa kusomaaaa.

Hamu ya PhD ikapambaa motooo.
Hivyo nikawa nasubiri tarehe ifike nishughulikie VISA nisepe, kuhama nikatupa kuleee.

PROBLEM
Sababu hasaa ya kutaka kuhama ilikuwa ni kufata mishahara mikubwa, maana niliona kadiri siku zinavyokwenda majukumu yanaongezeka na mshahara wa local government unakua mdogo.

Ila Kuna siku nilikaa nikajishauri nikaona ""nilikuwa nataka kuhama kwasababu ya mshahara mdogo na kuchoka Kazi, hivyo ni bora nifungue biashara ili niwe bizee nisiwe bored na niongeze kipato""

Ila upande mwengine biashara ni jambo nililokuwa napenda na kulitamani kulifanya tokea nikiwa diploma ila ni ukosefu wa mtaji ndio ulinizuia kufanya biashara.

Nikaanzisha biashara ya jumla na rejareja kwenye moja ya mji wa huku mkoani.

Hii biashara imenifanya niwe bizee hasaa na hata siku nyengine kazini siendi (mfano Kuna wiki yoteee sikwenda kazini).

DED aliniita siku moja nikamwambia najiandaa na safari, hivyo alinionyaa basi ikaishia hapo.

Ila tokea anionyee NIMEBADILISHA STAILI, nachofanya naenda kazini nasaini halafu napoteaa kazini kwenda dukani.

Duka langu linaenda vizuri ""ashukuriwe Mungu"".
Duka lilianza kwa faida ya elfu 5 kwa siku (baada ya kutoa matumizi yotee ya siku) na sasa linatoa faida ya 45,000 kwa siku.

Kuna kipindi huwa nafikiria niache tu Kazi niwe free na duka, ila kwenye faida nikipiga hesabu zotee za matumizi ya mwezi dukani (mshahara wa vijana, kodi ya fremu, umeme, usafi n.k) unakuta inabaki faida ya 200,000 mpaka 300,000 naona hii bado haiwezi kunilea ikalipa ada za watoto na kodi ya nyumba na mambo mengine hivyo moyo wa kuacha Kazi unaingia kusita.

Kwa upande mwengine, muda wa kupanda ndege umefika ili nikasome PhD na dip down my heart nahitaji kusoma ila pia hii biashara nahitaji.

Sasa je nifanyaje mwana JF, DED kashasaini barua zotee alizotumiwa na kupelekewa ili Mimi nisepe ila nikiliangalia duka langu naona HAPANA HAPA NDIO NIMEFIKA, nikiwa mwenyewe kitandani huwa NATAMANI SHULE...

Niko DILEMMA ya MAAMUZI.

USHAURI WAKO MUHIMU.

#YNWA
 
Kwa mwandiko huu hiyo PhD hutaiweza
 
1. Hiyo Biashara naona bado changa inahitaji usimamizi makini iweze kukua. Kama unataka biashara iendelee kuwepo na pia uende shule, tafuta msimamizi mwaminifu wa kuisimamia(kwa Dunia hii tena ukiwa ng'ambo kumpata mtu mwaminifu ni sawa ngamia kupita tundu la sindano)

2. Kama umeona shule ni bora zaidi ya biashara na hautaki biashara ife kifo cha mende, ivunje biashara sasahivi halafu uende zako shule ukiwa huna wasiwasi kuhusu biashara.
 
Kusoma hasa ukiwa na ajira ya kudumu kunalipa bali si kwa wakati uutakao wewe bali mda ukifika.
Hio biashara inastawi kwa ajili ya ofisi kama zilivyo biashara nyingi za waajiriwa, ambapo wakistaafu au Kazi kukoma na biashara ukoma. Amia penye mshahara mkubwa kisha soma online au postpond chuo.
Kuajiriwa hakulipi labda tu kama kuna kamba za kutosha, zipo ofisi mshahara mbuzi lakini zina kamba nene na zingine mshahara wa asali lakini hazina kamba au kamba ya saizi ya uzi wa kushonea nguo.
Angalia penye kamba nene.
 
Back
Top Bottom