naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa

    Mfano mtu alioa mke akazaa watoto na mke wa kwanza na kwenye uhai wao wakapata na Mali ,then baadaye mke wa kwanza akafa ,na mume akaoa mke wa pili Kisha baadae huyu mume anafariki je kwenye mirath Ni Nani anafaidika na kilichobakia?
  2. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Kuna siasa au uhalisia kwenye uvaaji wa Barakoa?

    Nimekuwa nikijiuliza na kukosa majibu sahihi kuhusu uvaaji wa barakoa kwa kiongozi mkuu wa nchi yetu. Anapokuwa ndani na nje ya nchi. Mara nyingi akiwa ndani ya nchi huvaa na akiwa nje havai! Pengine wapo wengi wangependa kujua. Je, inamaanisha nini?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu bachelor degree ya Education in Earlychildhood

    Habari za muda huu wanajamvi. Naomba kufahamu zaidi kuhusu elimu tajwa hapo juu. Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu 2022,nimesoma tahasusi ya HKL. Hivyo naomba mwenye ufahamu anipe dondoo kuhusu elimu hii. Ahsanteni.
  4. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa haya kuhusiana na wilaya ya Butiama mkoani Mara

    Thread was deleted
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nikifanya kazi za kuzoa taka halmashauri sitapata hasara

    Kuna hizi kazi za tenda wanatangaza sana halmashauri, ya kufanya usafi na kuzoa taka ngumu na kwenda kutupa dampo. Kazi hii kiuhalisia sio ngumu lakini ugumu unakuja kwenye malipo yaani wanataka pia ukusanye ushuru wa taka na 30% ulipe halmashauri inayobaki ya kwako, issue ngumu hapa ni kudeli...
  6. 7 ELEVEN

    JamiiForums Tanzania OMBI: Rais Samia naomba kazi ya kukusaidia kuisimamia EWURA/ au Kilimo

    Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu. Kabla sijaendelea kuelezea kusudio la kutaka kukusaidia kusimamia maeneo niliyotaja hapo juu, naomba nikuhakikishie kwanza mimi sio mganga njaa / almaarufu kama mchumia tumbo na sina lengo la kuwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu CBG

    Naombeni USHAURI KUHUSU CBG Ufaulu wangu Ni Gs D, Math F, Bios D, Geog C ,chem ,F . Kwa mnavyo ona naweza pata kozi gani na chuo gani. Ahsanteni
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Mwanadiplomasia?

    Wapendwa nimekuwa nikilisikia mara nyingi hili neno lakini nashindwa kuelewa vema
  9. A

    JamiiForums Tanzania OBD kwa old car like Premio 2004 or IST

    Ningependa kujua hii device hapa TZ naweza pata wapi? Asante.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye uelewa mzuri na mambo ya NECTA naomba mnisaidie nahisi nimepigwa

    Jamani naombeni msaada wenu mimi nilipotelewa na cheti cha form four mwaka 2001, tangia hapo nimekuwa nikitumia results sleep na lose report Kila mahali panapotakiwa vyeti. Ila mwezi huu kulifanyika uhakiki wamevikataa hivyo vielelezo na kunitaka necta au notangaze gazetini. Nilienda necta...
  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa; matrillion ya pesa yanayokusanywa kwenye kodi ya ‘Fuel marking’ yanaenda serikalini au kuna mtu anabugia asali?

    Wakati najaribu kutafuta ‘uchawi’ unaotumika kufanya bei ya mafuta ambayo gharama zake zote hadi kuyafikisha bandarini Dar es Salaam ni 1,116/= kuuzwa kwa bei inayofika hadi 3,500/= baadhi ya mikoa (tofauti ya 2,500/= kwa lita), nilikutana na ‘kodi’ inaitwa ‘Fuel marking’ Katika kujaribu...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa kupiga mluzi

    Naomba kufundishwa kupigq ule mluzi wa kelele kali. Achana na huu wa kuimbia nyimbo. Au kuna watu haiwezekani kabisa kupiga mluzi?
  13. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Naomba Wasifu (CV) ya Waziri Bashe tulinganishe na anayofanya

    Kumekuwepo na sintofahamu kubwa kuhusiana na Kauli ya Waziri wa Kilimo kuilazimisha Central Bank kutoa upendeleo kwa Benki mpya ya Bashe inayoitwa Benki ya Ushirika ili kuweka masharti nafuu ya utoaji wa mikopo. Pia, nimeona Bashe ameingia kwenye mzozo kuhusiana na ruzuku ya Mbolea na kuleta...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Naomba nafasi ya Internship

    Wakuu habari. Mimi ni kijana wa kitanzania, jinsia ME nimekuja hapa kwa nia ya kuomba nafasi kwa Internship kwenye NGO, Kampuni au sehemu yoyote watakao ona nafaa. Elimu : Nina Degree ya Sheria LLB Makazi Dar es salaam Umri :20's Mawasiliano: 0787460347
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Ni antivirus ipi ni nzuri na inaweza kuweka ulinzi mzuri dhidi ya virus na harkers ikiwezekana?

    Sokoni kuna antivirus nyingi na kila moja inajinasibu kuwa ni nzuri. Kwa yule mwenye uzoefu na antivirus mbalimbali naomba ushauri nitumie antivirus vipi kwenye laptop yangu?
  16. S

    JamiiForums Tanzania Naomba mawasiliano ya Poshocity

    Habarini wadau, nimeshauriwa through media hii nimtafute Poshocity ili aweze kunipa ushauri juu ya suala langu la kiserikali kulingana na yeye kuwa na uzoefu/ kupitia changamoto kama nilizopitia. Nimemtafuta kupitia njia hii sijapata mawasiliano yake. Tafadhali sana naomba mnisaidie kama Kuna...
  17. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Watalaamu wa masuala ya kifedha kupitia kwa mawakala naomba mawazo yenu katika hili

    Wakubwa kwa wadogo natanguliza salamu zangu kwenu nyote . Moja kwa moja niende kwenye mada husika . Ipo hivi hapa ofisi ninayofanyia kazi(sehemu ya biashara) dodoma area d kuna huduma za mawakala wa fedha zinafanyika hususan za simu na za kibenki.sasa leo kuna mtu kutoka singida kapiga simu...
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Matrillioni ya pesa yanayokusanywa na makampuni ya Bima kupitia mawakala wao ni za serikali au ni za nani?

    Nimepiga hesabu za haraka haraka, na kugundua kwamba makampuni ya Bima hukusanya wastani wa Trilioni 3.5 kila mwaka kama malipo ya bima za aina mbali mbali, na pia malipo kwa ajili ya bima (hasa hasa kwa wahindi wanaochoma moto viwanda vyao kwa makusudi) kwa mwaka huwa hayazidi bilioni 100, na...
  19. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Nina hiki kidogo naomba mnishike mkono wana Dodoma

    Habari za leo wanajamiiforums. Naomba mwenye connection ya kibarua chochote cha malipo ya siku kwa Dodoma aniunganishe. Nitatoa shilingi elfu kumi(10,000) kama shukrani. Naweza kuwa kondakta wa daladala, kiwandani, saidia fundi, najua kuendesha pikipiki japo sina leseni n.K. Mimi ni mwanaume...
  20. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa CLEAN SHEET za makipa wa YANGA hesabu zinakataa

    Clean sheet inahesabika pale unapotoka na ushindi bila kuruhusu goli takwimu zinadai kuwa makipa wa Yanga Diarra na Mshery wana Clean sheet 15 na 12 jumla unapata clean sheet 27 hata hivyo Yanga haina Clean sheet 27, Yanga ina clean sheet 22 tu kuna mechi 8 Yanga imeruhusu magoli Nakumbuka ni...
Back
Top Bottom