Wadau habari zenu,
Kuna hii Biashara ya kununua na kuuza vifuu ambayo ningependa kuifahamu kuanzia
- Gharama za kununua Kama kwa kilo hununuliwa kiasi gani na kuuza kiasi gani
- Changamoto zake (japo hakuna Biashara inayokosa changamoto ila NI Bora kujua japo kwa uchache)
- Kama Kuna ubora...
Habari wakuu,
Naomba kuelekezwa sehemu wanazouza sigara kwa bei nafuu ya jumla ambayo na mimi nitakwenda kuuza jumla.
Pia na bidhaa nyingne kama k vant, konyagi nk
Wakuu habari zenu?
Leo baada ya afya yangu kuyumba, nilienda hosp kucheki afya yangu, baada ya matibabu nilipewa dawa nikiwa nimeandikiwa nitumie 1 mara 3 Kwa siku 5 na mfamasia , akifafanua Kwa kusema nitumie Asb, mchana na jioni.
Lakini nikiwa natoka hosp nikakutana na ndugu yangu ambaye NI...
Wakuu, natumaini mko poa kabisa!
Naomba kujua bei za ving'amuzi vya Azam kwa sasa, vya antena na dish. Naomba pia kujua kama vitapanda bei hivi karibuni?!
Ahsanteni.
Habari wanaJF!
Nina mtoto wa miaka miwili na nusu ambaye analelewa na mama yake baada ya mkubwa wangu kufariki Ila pesa ya matumizi ninatoa Mimi kwa niaba ya marehemu.
Mwanzoni tulienda vizuri lakini shemeji kabadilika ghafla. Leo hii kila pesa ninayompa ya kumtunza huyo mtoto anadai haitoshi...
Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering).
Habari ndugu zangu,
Mimi ni kijana, nimezaliwa na kukulia katika kijiji kimoja kilichopo Mkoani Shinyanga. Nilihitimu stashahada ya uhandisi Kilimo miaka kadhaa iliyopita kutoka chuo cha Wizara ya...
Tuliambiwa kuwa mashirika ya hifadhi ya jamii yataunganishwa lakini mpaka sasa Jambo Hilo halijafanyika.kila shirika linajiendesha kivyake. Jambo hili mimi naona limeleta usumbufu mkubwa. Ili mtu aweze kupata mafao ya kustaff anatakiwa awe amechangia miaka 15 .
Tangia 2019 tuliambiwa kuwa...
Habarini za jioni Wana JF.
Humu ni sehemu ambayo nimejifunza mengi. Watu wamepata utatuzi wa yale yanayowasibu.
Kama mada inavyosema, nina tatizo la ganzi nyayoni. Hii husababishwa na nini? Nini tiba yake?
Natanguliza shukrani kwa msaada wenu.
Wasalaam Wakuu, Naomba kupata ushauri kuhusu kufunga mfumo wa gesi kwenye gari cc 2000.
Je, kuna changamoto yoyote ya ufanisi wa gari nitakayokutana nayo?
Je, ni kweli kwamba mfumo huu unaokoa gharama?
Ni wapi naweza pata huduma ya kufunga mfumo huu kwa gharama nafuu?
Pia kwa yoyote mwenye...
Kipindi nasoma advance mzazi wangu alinionya na kuniambia jirani yangu ana mamb ya kichawi ,na nilikuwa sipendi kabisa wajue mambi yangu hususan ninasoma wapi.
Ikatokea siku nikiwa nalipa ada kwa wakala baada ya kumaliza wakati naondoka nikamuona mtoto mmoja wa ile familia akiwa mazingira yale...
Nimeanza hatua za awali za maombi ya mkopo na nimepata control number na kufanya malipo lakini hadi sasa sijaweza kuendelea na hatua zinazofuata, kila nikijaribu ku relod inagoma.
Katika pekua pekua pamoja na simulizi za hapa na pale nimeambiwa kwamba Dunia nzima ma-Field Marshall hawazidi kumi akiwemo hayati Fidel Castro na Ally Zaqawi .
Je, ni kweli kuwa mafied marshall hawafiki kumi Dunia nzima ?
Je, cheo hiki hutumikaje katika majeshi?
Ndugu Zangu hii kitu naiwazaga Sana. Kuna huduma zinatakiwa zitolewe Kwa uharaka mkubwa na Kwa nchi za wenzetu ukifanya hivyo ukapiga hizi namba mfano
Ukapiga mamlaka mengine za huduma za dharula haichukui dakika washaamsha safari Kwa Kasi ya kubwa. Hapa bongo vipi???
Najua pia tupo wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.