naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba msaada juu ya jambo hili la ajabu ambalo limetuchanganya kama familia

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, ni jambo lililotushtua kama familia kutokana na uajabu wake. Ipo hivi, siku ya juzi tar 19 majira ya saa sita kasoro usiku nikiwa nimelala fofofo, simu yangu ambayo ilikuwa kwenye 'vibration mode' ilikuwa ikiita. Wife kwakuwa alikuwa bado hajalala akawa...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi nani aligundua hela na ulikuwa mwaka gani?

    Naomba ufanunuzi kidogo hapa maana labda sielewi hii hela imekujaje kwa ulimwengu.
  3. JamiiForums Tanzania Naomba tofauti kati ya Nyota na maarafu(Star/famous)

    Naomba tofauti hapa na mifano ili nipate elimu wanajukwaa
  4. G

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KUJUA TOFAUTI ZA KOZI ZA MASTERS ZIFUATAZO.

    Habari wana JF Kuna kozi nataka kusoma ila naomba ushauri wenu, nijue tofauti zake kwanza na ipi bora, kuna MSc in PROJECT PLAANING AND MANAGEMENT inatolewa IAA, BBA in PROJECT MANAGEMENT inatolewa TIA na Msc in PROJECT PLANNING, MONITORING AND EVALUATION inatolewa IRDP. Naombeni maoni ili...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wale tuliotaka Sawadogo atolewe jana na aingie Kipenzi chenu Mkude naomba Analysis yenu tafadhali

    Mpaka Sawadogo anatolewa Simba SC ( kama sijakosea ) ilikuwa imefungwa Goli Moja ila baada ya kuingia Mkude Simba SC ikaongezwa Magoli mawili. MINOCYCLINE sijui Mpira hivyo nawaomba Mashabiki wa Simba SC mliokuwa mnataka Sawadogo jana atolewe na aingie Kipenzi chenu Mkude mje na Uchambuzi wenu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kwenye kaburi kule Chato tarehe 17 March. Naombeni utaratibu

    Nataka kwenda kulishughulikia lile kaburi. Nitalishughulikiaje? Naomba ibakie siri yangu tu. Lakini mpende msipende tarehe 17 nitakuwa huko kulishughulikia Ili iwe funzo kwa viongozi mliopo madarakani kuwatendea mema wananchi kama afanyavyo mama. Mama wa watu kaombwa 1. Katiba ... Kakubali 2...
  7. JamiiForums Tanzania Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

    Mughonile! Habari za siku nyingi Wakubwa Kwa wadogo. Mzee Bikra nimerejea.... nitaanza na hawa viumbe wakataa Ndoa. Ninyi mnaokataa ndoa, Oeni Wanawake Bikra. Kama kuna Mwanamke Bikra na anataka kuolewa, muoe. MTU akikuuliza Kwa nini hauoi mwambie bado haujapata Mwanamke Bikra. Mwanamke...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa anayejua jinsi ya kulipia matangazo Instagram naomba msaada wako

    Habari naomba mtu anaejua jinsi ya kulipia matangazo instagram ili kuwafikia wateja au wahitaji wa huduma ninazotoa naomba anielekeze vizuri maana sina utaalamu mkubwa kihivo. Mwaka jana nilifungua account nikapromote tangazo na likawa limepata viewers wengi sana lakn jinsi ya kuwalipa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, mshitakiwa anaweza kuomba mahakamani ili kesi yake ihairishwe siku hiyo

    Naomba msaada wa kisheria. Ukiwa kama wewe ni mshitakiwa ambapo kesi yako imeshatajwa mara mbili na ulitokea ikahairishwa hadi muda mwengine ndo ianze kusikilizwa, ndani ya muda huo wewe hautakuwa na muda sababu ya jambo lako binafsi (sio lazima niliweke hadharan), ambalo haliwezi kukubaliwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu "hit song" ya Diamond ya sasa?

    Naomba kufahamu wimbo unaohit kwa sasa wa Chibu Dangote. Sababu za kuuliza swali langu ni huu mfululizo anaoufanya kuachia nyimbo kama fungu la.mchicha. Itakuwa vyema kuwa na chati ya TopHit kwa nyimbo zake pekee. Kwa sababu wafuasi tunaona anaachia banzi juu ya banzi
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kibali kuagiza mchele nje ya nchi

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei” Lengo la Serikali mchele ushuke...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kazi yeyote, niko Bagamoyo - Pwani

    Ni kijana wa miaka 26, mwenyeji wa mbeya ambae kwa sasa ninaishi Bagamoyo-Pwani. elimu yangu ni.kidato cha sita PCB, ninaweza computer vizuri katika shughuli za video library, kuflash simu na shughuli za kisteshionali. Nina nguvu ya kufanya kazi yeyote kwa maelekezo kiasi. kwa yeyote aliepo...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba mwenyeji wa Sumbawanga mwaminifu mwelewa

    Naomba mwenyeji wa Sumbawanga, mwelewa na mwaminifu anayejua na awe Mzaliwa wa huko . Pili hata kama so mzaliwa awe tu mwelewa na sehemu za hukoo
  14. JamiiForums Tanzania Naomba Msaada Namna ya Kudownload Nyimbo Boomplay

    Mwenye ufahamu wa namna ya kudownload nyimbo toka boomplay anisaidie, natanguliza shukurani
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naomba direction

    Wakuu habar za majukumu?! Naombeni msaada wa direction, nipo Buguruni naitaji kufika sehemu inaitwa Changanyikeni, Headquarter za Heritage Drinking Water ltd. Naomba kuwakilisha.
  16. W

    JamiiForums Tanzania Mliokuwepo wakati 'bana ba cameroon' inatoka naomba uzoefu wenu!

    Ndo hivyo! Sijazaliwa kipindi hicho, lakini haki ya nani huu wimbo huwa sichoki kuusikiliza. Waheshimiwa mliokuwepo kipindi unatoka naomba mnipatie picha tu la vibe Lake lilikuaje maana hiki kibao si cha mchezomchezo!
  17. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kuwasoma Horoya FC naomba 'Formations' hizi Mbili zitumike katika Vipindi vyote Viwili

    Kipindi cha Kwanza Simba SC ianze na Mfumo ( Formation ) ya 3-5-2 kwakuwa Horoya FC wako vyema katika Kiungo na hasa Ushambuliaji hivyo Kujilinda Kwanza ili Kuwasoma ni Muhimu katika First Half. Kipindi cha Pili Simba SC iingie na Mfumo ( Formation ) ya 4-3-3 ambao utatufanya tushambulie...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Naomba hii Ndoto niliyoiota Usiku wa leo isiwe ya Kweli

    Nimeota kumbe Gari Chiba lilishachomwa Moto Kitambo tu na kwamba kwa sasa Picha ya Gari inatafutwa ili Snipers watafutwe na walipige Risasi vile vile na Watafutwe Wataalam walirejeshe kama lilivyokuwa Siku hiyo ndipo Chiba akabidhiwe Kelele ziishe Mtaani. Chiba na Wewe kuwa Mvumilivu Kwanza...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kuweza kusaidia, asaidie hii jamii, kobe ni wasumbufu sana

    Nimesoma mahali kuna mchina kakamatwa kwa kukutwa na kobe watano anaowatumia kama kitoweo. Wilayani butiama mkoa wa mara kuna mtu alishtakiwa kwa kukutwa na kobe. Ukweli ni kwamba wilayani humo viumbe hao wako wengi sana na wanaharibu mazao hasa majani ya maharage na kunde. Kama kuna mwekezaji...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata qaswida ya Al Madrasat Raufu Rahim inaitwa Zawadi

    Habari nilikua naomba msaada wakupata qaswida ya Al Madrasat Raufu Rahim inaitwa zawadi nimeangaika sana YouTube sijapata naomba mwenye nayo anitumie 0693620048 wsp
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…