Naomba direction

meddiy

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
410
461
Wakuu habar za majukumu?!

Naombeni msaada wa direction, nipo Buguruni naitaji kufika sehemu inaitwa Changanyikeni, Headquarter za Heritage Drinking Water ltd.

Naomba kuwakilisha.
 
Oanda gari za mawasiliano,shuka panda gari za chuo kikuu shukia utawala,chukua bodaboda
 
Nmeangalia google lkn bado inaniwia vgm nafikaje. mpk uwe mwenyeji au uwe na usafiri wako mwenyew nd utaweza kutumia google map. Kwan google map inakuelekeza mpk daladala gani upande ?? Kua na akili alaf uache kuropoka
Hawaoneshi lakini ukitafuta wasafirishaji jamii ya uber watakufikisha pia.
 
Panda gari za mawasiliano shuka njiapanda ya chuo kikuu panda bajaji zinaenda moja kwa moja changanyikeni
 
Wakuu habar za majukumu?!

Naombeni msaada wa direction, nipo Buguruni naitaji kufika sehem inaitwa Changanyikeni, Headquarter za Heritage Drinking Water ltd.

Naomba kuwakilisha.
Dogo ushachanganyikiwa tayari baada ya shemeji yako kukutimua na dada yako kukataa kukukingia kifua. Hamna namna nenda tu kwa kaka yako uswaz kishingo upande.
 
Nmeangalia google lkn bado inaniwia vgm nafikaje. mpk uwe mwenyeji au uwe na usafiri wako mwenyew nd utaweza kutumia google map. Kwan google map inakuelekeza mpk daladala gani upande ?? Kua na akili alaf uache kuropoka

Kwani hapo ulipo simama hakuna watu ambao unaweza kuwauliza? Mwenyeji wako huko ajakupa maelekezo?
 
Wakuu habar za majukumu?!

Naombeni msaada wa direction, nipo Buguruni naitaji kufika sehem inaitwa Changanyikeni, Headquarter za Heritage Drinking Water ltd.

Naomba kuwakilisha.
Mimi simuelekezi mtu wakati wa usiku, tuonane kesho asubuhi na nitakuwa tayari kukupeleka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom