MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Kipindi cha Kwanza
Simba SC ianze na Mfumo ( Formation ) ya 3-5-2 kwakuwa Horoya FC wako vyema katika Kiungo na hasa Ushambuliaji hivyo Kujilinda Kwanza ili Kuwasoma ni Muhimu katika First Half.
Kipindi cha Pili
Simba SC iingie na Mfumo ( Formation ) ya 4-3-3 ambao utatufanya tushambulie zaidi huku pia tukijilinda. Kisaikolojia Horoya FC wakiona hawajapata Goli Kipindi cha Kwanza ( First Half ) Kisaikolojia watakuwa Frustrated na kupoteza Focus yao Kimchezo kitu ambacho kitakuwa ni Faida Kwetu Simba SC na huenda ikatusaidia katika kutoka nao Suluhu ( 0 - 0 ) au hata Kuwafunga kama sehemu ya Malengo yetu kwa Mechi / Mchezo wa Leo.
Simba SC leo icheze Kimkakati mno.