Naomba kazi yeyote, niko Bagamoyo - Pwani

Msokwa1

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
470
511
Ni kijana wa miaka 26, mwenyeji wa mbeya ambae kwa sasa ninaishi Bagamoyo-Pwani. elimu yangu ni.kidato cha sita PCB, ninaweza computer vizuri katika shughuli za video library, kuflash simu na shughuli za kisteshionali.

Nina nguvu ya kufanya kazi yeyote kwa maelekezo kiasi. kwa yeyote aliepo dar ama pwani naomba unisaidie kupata kazi yeyote hata kwa malipo ya chakula na mahala pa kuishi. Ahsante
 
Tafuta vituo vya chekechea kafundishe watoto .. au tution center zipo nyingi kafundishe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom