naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba ule Wimbo wa Zablon Singers wa Umetutoa mbali uwaendee waliochukizwa na Ushindi wangu

    Naomba mkiwa mnausikiliza huku mkiwa mmenuna mjipige Makofi Makali.ya Usoni mjiongezee Maumivu sawa?
  2. Village fooler

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo katika hili

    Nawasalimu katika jina la jamhuri, Naomba mwenye uelewa katika suala hili anisaidie, iko hivi mimi naishi moja ya mikoa ya kanda ya ziwa kuna rafiki yangu anaishi mkoa wa iringa, juzi alinipigia simu ananiambia kuna tenda ya kukata miti pori kwa ajili ya uchomaji wa mkaa, mimi namiliki chainSaw...
  3. Roga Roga

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba

    Habari wana jf? Nipo katika ujenzi na kwasasa nahitaji kufunga gypsum board ndani ya nyumba, hivyo Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba. Nyumba ina ukubwa wa mita 12 kwa 10 na ina vyumba vitatu, sitting room, dinning...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Kuhusu Mikopo ya Riba nafuu kutoka Hazina.

    Heshima kwenu! Nimesikia kuna mikopo inatolewa na serikali kupitia hazina kwa watumishi wa uma. Nimetafuta nyuzi humu JF kuihusu lakini nimeona michango ni kidogo sana haitoi usaidizi mzuri. Ninaomba kwa yeyote mwenye taarifa sahihi kuhusu mkopo huu,vigezo na masharti vya kupata ,utaratibu wa...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ubora na udhaifu wa gari za Toyota town hiace au panya buku

    Wana jf nataka ninunue hii gari naomba kuijua A-Z ubora wake madhaifu yake na bei zake. Asanteni.
  6. ChizzoDrama

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kufungua line ya Vodacom upande wa calls na sms

    Habari wadau Nilikua najaribu kuminya codes tofauti kwenye simu yangu, Sasa sijajua nimeilock kwa codes zip? Laini ninayo tumia ni Vodacom , naomba msaada wa codes za kui activate, Natanguliza shukrani zangu
  7. New HIZ O

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kilimo cha alizeti na mahindi

    Mimi ni mkulima ninashamba la heka 20 kipi nilime kati ya mahindi na alizet ila ardhi yake ni kichaga
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Urgent: Naomba yoyote mwenye programu ya Microsoft project anisaidie kuipata

    Salamu wakuu. Ninahitaji hii program niiweke kwenye PC yangu. Kwa yeyote aliyenayo kuanzia version ya 2016 mpaka 2021 naomba aje pm. Nipo hapa dar es salaam na nitatoa angalau shukrani.
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Joka la vichwa viwili ndani ya msingi wa jengo lililoanguka na kuua watano Marangu

    Kwema ndugu yangu Mshana Jr mwandishi nguli wa habari za watu wa kuzimu. Tafadhali naomba ufafanuzi wa hili... Juzi kuna jengo la ghorofa lilidondoka na kupelekea kupoteza maisha ya vijana wetu wasiopungua 5 kwa mujibu wa ripoti za uchunguzi. Sikubahatika kufika kwa eneo la tukio lazima...
  10. hp4510

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa kitaalam kwa wafanyakazi wa Airtel

    Kama kichwa cha habari kinavyosema Naitaji msaada wa kitaalam Kwa wafanyakazi wa kampuni ya simu ya Airtel Kuna kijana wangu, ambae ni mtunza bustan na usafi wa nyumba, ameondoka na funguo za gari yangu Kwa bahati mbaya Aliniomba bag dogo, nikampatia sasa nilisahau kutoa funguo na diary zangu...
  11. Unique Flower

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii kitu naomba mnieleweshe

    Kitabu Cha Waefeso 5:31 BHN “Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.” Sasa inakuwaje mwanaume ananiletea ndugu zake Tena inakuwaje kakiuka maandiko . Mnavyoooa mmeoa mje mkajenge familia yenu na mzae nampate watoto. Ila...
  12. official__pius

    JamiiForums Tanzania Je, naruhusiwa kuhama chuo?

    Naomba kujua utaratibu wa kuhama chuo kwa ngazi ya diploma (Vyuo vya Afya) Nilikuwa na paper ya sup na nilishaimaliza. Je, naruhusiwa kuhama chuo?
  13. Fund man

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hizi namba mpya za magari

    Nipo halmashauri moja hapa nchini,nimekuta Kuna Gari Lina kibao chekundu namba za njano.namba zinaanza na ZT XXXX.Naomba kujuzwa maana yake.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kurudia mtihani wa o level nikiwa nipo chuo

    NDUGU ZANGU naomba nipate uelewa kidogo juu ya jambo langu hili Nipo chuo mwaka wa pili nasomea Tax managment ila nimepata mdhamini yeye ni Daktari huko USA, kanipa udhamini wa kunisomesha ili nikimaliza diploma niende nje. Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Chuo huku nikianza...
  15. kyagata

    JamiiForums Tanzania Serikali naomba mtofautishe muonekano wa sarafu za shilingi 500 na shilingi 10.

    Hizi sarafu mbili zinafanana mno, kiasi kwamba inakuwa ngumu kwa mtu kuzitofautisha haraka haraka hasa katika mazingira yenye giza. Mfano jana usiku nisingekuwa makini ilikuwa nishikishwe sarafu 6 za shillingi 10 nikidhani ni elfu 3. Serikali fanyeni kitu kuzitofautisha hizi sarafu kimuonekano.
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mwenye simu aina ya Huawei P20 Pro model ya kichina naomba aniuzie

    Habari wakuu, Nipo mbele yenu, nimeweza kutafuta vihela ili niweze kununua simu. Baada ya kuwaza sana nimeona simu inayo nifaa ni HUAWEI P20 PRO. Hivyyo mwenye simu aina ya Huawei P20 Pro model ya kichina naomba aniuzie. Natafuta used inanitosha sana. Kama unayo ni PM. Mawasiliano yangu ni...
  17. Bexb

    JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo wa vibali katika Biashara ya mbao

    Habari ya wakati huu wakuu. Ninaomba maelekezo na mwongozo kwa vibali ambavyo mtu/kampuni inapaswa kuwa navyo ili iweze kufanikisha kusafirisha mbao/magogo kwenda nje ya nchi hasa Kenya na nchi za Asia. Pia kama kuna mamlaka nyinginezo zozote ambazo nitapaswa kupita kabla ya chochote ili...
  18. vibertz

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa kupata vibali vya kusafirisha nyama

    Habari, Nataka niwe nasafirisha nyama kutoka Tanzania bara kupeleka Tanzania visiwani. Mwenye uzoefu wa hii biashara naomba anifahamishe kuhusu namna ya kupata vibali na nyaraka zote zinazohitajika katika biashara hii. Na namna nzuri ya usafirishaji na kufanya packing. Asante.
  19. Gooluckyshy

    JamiiForums Tanzania Nimesoma NIT kozi ya Advanced Driver's Grade II VIP. Naomba kazi nina uzoefu wa miaka 4

    Naitwa Goodluck nina umri wa miaka 3, nimesoma NIT kozi ya Advanced Driver's Grade Two-VIP. Nina uzoefu wa miaka 4 katika kazi ya udereva na nina endesha gari za aina zote. License Class A, A2, B, C1,C2,C3,D na E.
  20. SACO

    JamiiForums Tanzania Hii ni kawaida kwa RAV 4 old cc 1990 kula mafuta? Naomba msaada wenu

    Yaani lita moja kwenye rough road inatembea km 5 tu, je hii ni kawaida? Pia ina tatizo la kuchelewa kubadili gia, natamani kuwapatia mafundi waicheck gear box ila wasiwasi wangu wasije wakaiua kabisa
Back
Top Bottom