Naomba kuuliza waliofanya oral interview community Development kama wameitwa kazini tayari

Bado ndugu yangu tupo tu tunasubiri, na pia fatilia website ya psrs utaona tu wakianza kuita
 
Habarini,

Naomba kuuliza waliofanya oral interview ya community development Ile ya watu 800 kama tayari wameitwa kazini, kama Bado wadau kama Kuna mtu anayejua lini wataita atujuze.

Asante
Hii wataanza kuita disemba au January
 
Back
Top Bottom