Mtangazaji Zamaradi Mketema amechukizwa na tabia ya Watanzania kutokuwa wazalendo kwenye masuala ya kitaifa hususani kwenye mashindano yanayohusisha nchi na nchi.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram zamaradi amesema,
"Msanii wa NIGERIA akikosa tuzo ama hata kushindwa kwenye shindano lolote unayaona kabisa maumivu ya WANIGERIA, wananchi wao huumia kutoka moyoni, Njoo huku kwetu sasa, MSANII akikosa Tuzo ama shindano lolote ndio unapoishuhudia wazi kabisa FURAHA ya Watanzania, kiufupi kushindwa kwa wasanii wetu ni furaha na Vigelegele kwetu huku vicheko na maneno ya Dhihaka yakisindikiza kushindwa kwao, hivi somo la UZALENDO limekuwa Gumu kiasi hiki Tanzania!!!? WENZETU WAMEWEZAJE!!? Na sisi Tulirogwa na nani!!!??" - Mketema
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️