JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,308
- 5,460
Mdau wa soka, huyu mchezaji amefanikiwa kufunga magoli katika mechi zinazohusisha upinzani wa jadi wa Timu za Mji mmoja ‘Dabi’ na katika ushindani wa timu kubwa zenye upinzani kutoka miji tofauti Nchini England na Hispania.
Amefunga katika mechi ya Liverpool vs Everton, Barcelona vs Real Madrid na Manchester City vs Manchester United.
Mdau wa Michezo, Je, Mchezaji huyu ni nani?
Amefunga katika mechi ya Liverpool vs Everton, Barcelona vs Real Madrid na Manchester City vs Manchester United.
Mdau wa Michezo, Je, Mchezaji huyu ni nani?