Aliyewaambia Contemporary House niza Gharama Nafuu ni nani?

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,816
5,151
Wakati Moderators wakila Bata Ngorongoro na mimi kesho nielekee Kigurunyembe nikale Kanga!

Hivi ni nani aliyeleta nadharia ya kwamba zile nyumba za kuficha paa almaarufu kama. "Contemporary House" niza gharama nafuu?

Zile nyumba usipokuwa na pesa nakwambia utadhalilika na hakika utakuwa mmoja ya watu watakaokamilisha ule usemi usemao "Inyeshe tuone panapovuja"

Masikini na watu wengi wasiokuwa na uwezo wamekuwa wakikimbilia kujenga hizo nyumba na kuishia kuumbuka kwasababu wanatumia mafundi wa bei rahisi na wasiokuwa na uwezo!.

Kujenga nyumba ya kufichwa kwa Paa au Contemporary house inahitajika pesa ya kutosha kwasababu utapata mafundi wenye ujuzi wa kutosha watakao kupigia finishing ya hali ya juu!

Kama huna pesa jenga nyumba ya kawaida tu ili usije kudhalilika!
 
Zina nafuu kwa sababu zinatumia bati na mbao chache mno
 
Contemporary house or roofing?

Nothing contemporary to those ugly looking so called houses
 
Back
Top Bottom