Nahitaji App developer au kampuni ya kutengeneza App

Cards Fantasy

Senior Member
Nov 3, 2016
192
110
Habari za leo wanafamilia.

Nahitaji App developer au company inayodeal na utengenezaji wa Apps.

Nna mfadhili anataka kunipa support kwenye app yangu.

Mimi ni Muanzilishi wa Kuku Care Tanzania.

Tunauza herbs na spices Maalum za kutibu na kukinga magonjwa mbalimbali ya Kuku, kupandisha immunity na kupunguza gharama za Ufugaji na usalama kwa mlaji.

Naomba nitumie email ya price list kwenda. hkaranda01@gmail.com

Unaweza tembelea Instagram/Facebook Kukucaretz.

Shukran Sana.

AMAZON HERBAL FEED 1.png
 
Back
Top Bottom