Nahitaji kujua basi zuri kutoka Dar kwenda Nairobi

Mtamba wa Panya

JF-Expert Member
Aug 6, 2017
695
1,712
Habari waheshimiwa,

Naomba kujua basi gani ni zuri kwa sasa kutoka Dar kwenda Nairobi, Kenya.

Naomba pia muambatanishe na nauli zake.

Pia naomba kujua utaratibu na gharama za kupata passport ya muda "ya makaratasi" maana passport yangu ya kitabu imeisha muda wa matumizi na nimepata safari ya ghafla.

Itakuwa vizuri zaidi kama mtanijulisha kama kuna changamoto yoyote kwa safari hii hasa kipindi hiki cha ugonjwa wa CORONA

Ahsanteni waungwana!
 
Kwa mujibu wa msigwa, kupima covid kwa nchi majirani na Tanzania ni free of charge

Bus ni darlux 70,000
 
Mosi Kama huna haraka na ungependa kufanya utalii kidogo panda tahmeed dar mombasa price(KES 1,500) kisha ukifika pumzika asubuhi panda treni(SGR) masaa matano uko nairobi.

Pili kama una haraka panda Tahmeed dar to nairobi kupitia arusha price(KES 3,500)
 
Ahsante kaka. Nimependa idea yako. Nauli ya SGR kutoka Mombasa kwenda Nairobi Ni KES ngapi?
 
DarLux ipi Mkuu? Maana washa chem Ka siku tele huko
Asante kwa masahihisho mkuu, niliona kwenye website yao. Sijawahi kusafiri kwenda NRB kwa bus moja kwa moja
1. Either hupanda zile suttle pale Naura, kwangu naona huwa ziko very organized 30,000 sema anataka ya moja kwa moja Dar-Nrb
 
Saibaba, harambee, Dar express, Dar lux, shabiby hizi gari Sasa hivi haziendi Nairobi Basi inayoenda ya kishua n Tahmeed na Kuna nyingiine hii n zoa zoa Kama saibaba inaitwa Spider japo hili n 9t kwa 9t linaanzia DSM.

Kama upo dar kila chuma (Dsm to Ars from 15,000/= to 33,000/= inategemea na wewe) mpaka Arusha saa 10 ushafika chukua Noah (Ars to namanga 7,000/=) saa 12 ushafika namanga.

Namanga unabadilisha pesa onyo usiende kwa msomali au mkenya utapigwa Kama HUJUI hesabu ya pesa NENDA kwa watanzania wenzako Mana sie hatujui maisha hvyo rate zipo chini.

From namanga to Nairobi nauli n Ksh 500/= Kama una karatasi Kama huna unaongeza Kuna #$-@*%!$? Huko njiani hii ndo njia rahisi hauhitaji sijui Chet Cha KORONA Wala passport hii n nzuri na salama na haina Mambo mengi Ila usiweke garantii Kama n mtu wa gundu.

NOTE: Badilisha kiasi chapesa unachohisi utaenda kutumia ukibadilisha nyingi au kidogo kupita uhitaji utawafanyia kazi wanaobadilisha pesa.

Hii ya Basi ukifika namanga mnaingia kwenye foleni ya KORONA Mara passport hii inachukua muda Ila Kama upo kamili haina shida.

Kumbuka n SHERIA ukiwa ardhi ya Kenya kuvaa barakoa ukikamatwa n pingu uzuri Askari wakenya mnamalizana mapema sema ndo hvyo utatoboka ukileta ligi au wakikutambua kuwa n mbongo mzee utakuwa huna bahati Yan umeisha.

Ukifika Arusha Nyama choma nusu n 5,000/= huku hatuna habari za mapande usishangae ukiwa bar ukaona upande wa ng'ombe mzima ukadhani n bucha kumbe n jiko la Nyama choma.

Safari njema.
 
Ahsante kaka..

Nikitoka Namanga saa 12 jioni nitafika Nairobi saa ngapi?

Je, Namanga-Nairobi usafiri ni masaa 24??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom