Nahitaji kijana wa kusimamia akaunti zangu mtandaoni

Elisha Chuma

JF-Expert Member
Jul 22, 2013
275
262
Nnahitaji kijana mwenye uwezo mzuri wa kutumia vizuri kompyuta, kwa kazi ya kusimamia akaunti zangu mtandaoni.

Vigezo : Awe na kompyuta binafsi na uwezo wa kutumia vizuri mitandao ya kijamii
Mahali : Awe ndani ya Dar es salaam, hasa jimbo la Kawe
Mshahara : Tshs 150,000/=

Ikiwa unajiona unafaa kwa nafasi hii wasiliana nami PM
 
Back
Top Bottom