nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DOM_LEADER

    JamiiForums Tanzania Nahitaji connection au links za magroup ya WhatsApp yanayohusu technology kuhusu simu, PC na mengineyo kama hayo

    Habari wakuu Kiukweli nahitaji kuongeza uelewa kuhusu mambo mifumo ya sim na mambo ya computer like androids, OS, Linux, bypassing and other like that. Hivo nilipendelea sasa kisaidiwa kupata connection hasa za whatsapp ili kukutana na wataalamu mbalimbali katika group hizo. ASANTENI SANA.🙏🙏🙏
  2. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo kwa ajili ya kuboresha shule yangu ya day care

    Habari ndugu wanaJF wenzangu mimi ni mgeni humu ndani. Nimejulishwa jukwaa hili na rafiki yangu wa karibu baada ya kumuelezea changamoto nazopitia katika ofisi yangu. Kiufupi ni kwamba mimi ni msichana umri miaka 25 nimemaliza shahada ya ualimu mwaka juzi. Baada ya kukaa mtaani kwa takrban...
  3. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mdhamini(muwekezaji) kwenye biashara ya samaki, pweza, kamba, ngisi, dagaa wakavu na simbi

    Simu: 079 531 536 9 Nimerudi tena, baada ya andiko la kwanza naona wawekezaji mnakuja na kuondoka. Habari; Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Ninahitaji mdhamini kwenye biashara ya mazao ya bahari. Kwasasa nimeanza kufanya hii biashara nikishirikiana na Mama angu mzazi, lakini mimi...
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya UPWEKE yamenichosha - Nahitaji Mke

    Kichwa cha habari hapo juu cha husika. Maisha ya upweke ymenichosha hivyo nahitaji mwanamke wa kuishi nae maisha ya kumpendeza Mungu. Sifa kubwa awe na uhitaji wa mume kweli na pia awe mwanamke mwenye maono kuhusu maisha na awe mwanamke anayejitambua. On top of that, elimu yake isipungue...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mkopo kwa dhamana ya gari

    Habari wakuu. Nahitaji mkopo wenye riba kutoka mtu binafsi, nitaweka gari kama dhamana. Mkopo kwa muda wa miezi 2. Kwa mawasiliano zaidi tuzungumze
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mawakala wa mauzo Daresalaam

    Hello wakuu,. Nahitaji maafisa mauzo (Mawakala wa mauzo) kwenye bidhaa ya mikopo kwa dhamana ya gari,. Awe ni mchangamfu na mwenye uzoefu kwenye mauzo na kukutana na wateja wapya. Awe anaekaa mkoa wa Dar es salaam. Kwa mawasiliano anaweza tuma CV au kupiga simu 0757962335
  7. mtoto wa kibopa

    JamiiForums Tanzania nahitaji vifaa vya simu aina ya huawei mate 20 pro viwe used au vipya

    nahitaji vifaa vya huwei used hata kama ni vipya itakuwa sawa tu...vifaa ninavyovi hitaji ni mfuniko wa batri uwe na muonekano kidogo mzuri kama ni used,camera ya mbele na nyuma...au hata ikipatikana hii simu iliyokufa display nitanunua.
  8. Mwanamke wa mithali 31

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Dar es Salaam/pembezoni mwa mji kwa ofa ya Tsh 5m

    Nahitaji pembezoni mwa mji au kiluvya
  9. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kisaikolojia nimeathirika

    Kwa kweli nmeathirika sana kisaikolojia. Mwanamke akiwa na tumbo kubwa binafsi nashindwa kabisa kupata hamu ya kufanya naye mapenzi. Hili jambo limeniathiri sana. Kuna dada mmoja nampenda ananipenda mara kadhaa najaribu kufanya naye najikuta natumia nguvu kubwa sana ili nimalize. Inanidi ni...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mbinu ya kupata milioni 2 kabla mwaka haujaisha

    Habari zenu, Mimi ni Kijana wa miaka 23 nipo chuo. Ombi la kuandika uzi huu ni kutaka mbinu nayoweza kuitumia ili kujikusanyia kiasi cha pesa hizo. Sina kazi zaidi ya kuwa mimi ni mwanafunzi tu. Nahitaji pesa, pesa, pesa. NB: Kama una mawazo ya kimaskini usichangie mada hii, na wale...
  11. stan john

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ndoo za plastic

    Habari, Nahitaji ndoo za plastic kwa Bei ya jumla, na naomba kujua viwanda vinavyotengeneza ndoo za plastic Nina uhitaji mkubwa ,asanteni
  12. I

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji excel ya fuso

    msaada nahitaji hii axle shaft ya hii fuso. kama unayo tuwasiliane kupitia 0623593536
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamishwa vifurushi vya DSTV vilivyo na mechi za UEFA

    Kuishi vijijini tabu yake ndio hii sasa Unanunua king'amzi cha Dstv na hujuwi vifurushi vyake huwa vina bei gani Naomba kufahamishwa ndugu wapenda michezo Kwa sasa ni bei gani ili niangalime timu yangu ya PSG wiki ijayo?
  14. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Epson A2 Printer nahitaji

    Naomba anaejua wapi naweza pata printer ya Epson inayoprint A2 anijulishe
  15. Jaws

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Microsoft 365/Office ya Halali kwa Haraka

    Wakuu. Vyuo karibu vitafunguliwa; na madogo wanahitaji vitendea kazi (laptops). Kuna dogo anahitaji software ya Microsoft 365/Office ya halali na yenye lifetime warranty kwa ajili ya kazi za kawaida tu za chuoni. Kama unayo basi nitafute ASAP. Dogo anayeihitaji kwa sasa yupo Dar; na ndiye...
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Eng Hersi Said, kufumba na kufumbua, nahitaji huyo coach tapeli Roman Folz aondoke

    Yanga sio sehemu ya wanafunzi kufanya field Folz sio coach Bali ni tapeli tu Binafsi simhukumu Kwa matokeo ya Leo huko Mbeya, Mimi kama mwanamichezo naelewa hayo ni matokeo ya kawaida katika ligi Huyu coach ni tapeli ana bahatisha Kwa foundation course yangu ya coaching hizi ndo mbinu...
  17. Vien

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu zaidi ya maswala katika uendeshaji biashara chini ya kampuni

    Habari wanazengo, Nimekua na shauku sana la kusajili biashara yangu ya hardware itambulike rasmi kama kampuni, sasa katika kufuatilia nimekutana na vitisho vingi kutoka kwa watu mpaka inapelekea niwe na utulivu ili nipate elimu kwanza kabla ya kuingia moja kwa moja kwenye kusajili kampuni...
  18. Atukuzwee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke wa kuoa Serious

    Habari kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji mke wa kuoa. Nilishakua na mahusiano huko nyuma ila kuna mambo yalitokea mengi tukaachana ila sijawahi kuoa wala sina Mtoto. Ukiwa interested karibu Sifa zangu ELIMU: Degree. Kazi: Network administrator Umri: 33 Location: Dar Rangi: Black...
  19. Masai wa Town

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sasa Nahitaji Mke

    Sifa zangu: Mwanaume mwenye umri wa miaka 30, kabila maasai Degree ya Kwanzaa Muajiriwa sekta binafsi Mweusi, mrefu na mwili wa wastani Mkristo Sijawahi kuoa na Sina watoto Napenda jogging na kusali Sifa za mwanamke ninayemuhitaji Mkristo kabila lolote Mweusi na mwenye urefu wa wastani Aliye...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika: nahitaji mahali pa kufikia Dar

    Habari wakuu! Mm ni kijana mwenzenu Mtanzania halisi.Nimekuwa na changamoto ya kiafya muda mrefu kidogo .Kwa sasa niko kanda ya ziwa natakiwa kuja dar this month kwa ajili ya matibabu.Kwa bahati mbaya sina sehemu ya kufikia huko,nahitaji nipate ata kama kuna jumba ( pagale) ambalo linahitaji mtu...
Back
Top Bottom