1.Kwa kuwa Utengenezaji wa sabuni unahusika na kushika kemikali utahitaji kibali Toka Kwa mkemia mkuu wa Serikali- vinginevyo ukishikwa ni kosa kisheriaWadau Salaam!
Ninahitaji mashine ya kutengeneza sabuni za miche pamoja na mixer angalau ya lite 200. Mwenye nayo au mwenye uelewa naweza ipata wapi naomba anisaidie kwa kunitumia ujume PM. Asanteni sana.
Asante sana kwa ushauri mzuri! Nipo mkoani nitafika ofisi za sido kufuatilia hili. Ubarikiwe sana.1.Kwa kuwa Utengenezaji wa sabuni unahusika na kushika kemikali utahitaji kibali Toka Kwa mkemia mkuu wa Serikali- vinginevyo ukishikwa ni kosa kisheria
2.Sido Vingunguti Kuna MTU yupo pale anazalisha na kuuza hizi Mashine. Sio vyema niweke no yake hapa inbox for the mobile number
3. Niliwai soma Jinsi ya kutengeneza Sabuni za aina zote,Losheni,showergel,Creams n.k Sido Vingunguti kozi nzima ni 200,000 ukimaliza unapewe Cheti na pia Mkemia mkuu uja kufundisha na kupatiwa Cheti cha kuruhusiwa kucheza na kemikali za kuzilishia Sababuni na vipodozi aina zote bila garama yeyote ile. Na pia unapata fursa ya kusajiliwa Barcode ambayo inakuwezesha uzia sabuni zako na aina zingine za vipodozi kwenye super markets. So nakushauri fika Sido ukasome ni kozi fupi. Mikoani wanaifundisha kwa laki na nusu.Na pia Pale Sido wanatoa mikopo kwa waliomaliza hii kozi ili waweze anzisha viwanda vyao wenyewe vya kuzalisha Sabuni n.k Karibu
Nunua kwa wote ila sio kwa Mtanga wa kibahaWadau Salaam!
Ninahitaji mashine ya kutengeneza sabuni za miche pamoja na mixer angalau ya lite 200. Mwenye nayo au mwenye uelewa naweza ipata wapi naomba anisaidie kwa kunitumia ujume PM. Asanteni sana.
Nauza mafuta ya mise wadau kwa ajiri ya kutengenezea sabuni za miche 0756877986Wadau Salaam!

watafute facebook kuona video namna mashine zao zinavyofanya kazi