Ndiyo tunywe pepsi tukiwa mafulendi? Aaaargh!Hebu jiongeze wewe fulendi!nimekubali mimi ni mgeni maana kila post napewa lawama mgeni mgeni 🤔🤔 lengo ni kuondoa stress na kupotezea vitu nipo humu kukutana na watu tofauti
nahitaji marafiki zaidi karibuni sana 😘😘
Hutaki kunywa "kakakola"?Shenz!
Koma we! Mi sio mzee..🥺🥺🥺 nimekukosea nini mzee?
Aje na hard liquor hatupo kwa kuhani musa hapa!Hutaki kunywa "kakakola"?
Wewe kataa tu uzee.Tumekuandalia kiti chako kwenye baraza la usuluhishi la kata.Koma we! Mi sio mzee..
Amekutana na mziki wa Seran kivumbi leo.heee mbona hivyo sasa
Lazima acheze muziki wa "yekeyeke"!Amekutana na mziki wa Seran kivumbi leo.
Andika vizuri! Hee nini ss, kaza!!heee mbona hivyo sasa
Umesema unataka rafiki wa kubadilishana mawazo?Hivi,nikikupa mawazo yangu uyatumie utabaki salama kweli?nimekubali mimi ni mgeni maana kila post napewa lawama mgeni mgeni 🤔🤔 lengo ni kuondoa stress na kupotezea vitu nipo humu kukutana na watu tofauti
nahitaji marafiki zaidi karibuni sana 😘😘