nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kisaikolojia nimeathirika

    Kwa kweli nmeathirika sana kisaikolojia. Mwanamke akiwa na tumbo kubwa binafsi nashindwa kabisa kupata hamu ya kufanya naye mapenzi. Hili jambo limeniathiri sana. Kuna dada mmoja nampenda ananipenda mara kadhaa najaribu kufanya naye najikuta natumia nguvu kubwa sana ili nimalize. Inanidi ni...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mbinu ya kupata milioni 2 kabla mwaka haujaisha

    Habari zenu, Mimi ni Kijana wa miaka 23 nipo chuo. Ombi la kuandika uzi huu ni kutaka mbinu nayoweza kuitumia ili kujikusanyia kiasi cha pesa hizo. Sina kazi zaidi ya kuwa mimi ni mwanafunzi tu. Nahitaji pesa, pesa, pesa. NB: Kama una mawazo ya kimaskini usichangie mada hii, na wale...
  3. stan john

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ndoo za plastic

    Habari, Nahitaji ndoo za plastic kwa Bei ya jumla, na naomba kujua viwanda vinavyotengeneza ndoo za plastic Nina uhitaji mkubwa ,asanteni
  4. I

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji excel ya fuso

    msaada nahitaji hii axle shaft ya hii fuso. kama unayo tuwasiliane kupitia 0623593536
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamishwa vifurushi vya DSTV vilivyo na mechi za UEFA

    Kuishi vijijini tabu yake ndio hii sasa Unanunua king'amzi cha Dstv na hujuwi vifurushi vyake huwa vina bei gani Naomba kufahamishwa ndugu wapenda michezo Kwa sasa ni bei gani ili niangalime timu yangu ya PSG wiki ijayo?
  6. MBOKA NA BISO

    JamiiForums Tanzania Epson A2 Printer nahitaji

    Naomba anaejua wapi naweza pata printer ya Epson inayoprint A2 anijulishe
  7. Jaws

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Microsoft 365/Office ya Halali kwa Haraka

    Wakuu. Vyuo karibu vitafunguliwa; na madogo wanahitaji vitendea kazi (laptops). Kuna dogo anahitaji software ya Microsoft 365/Office ya halali na yenye lifetime warranty kwa ajili ya kazi za kawaida tu za chuoni. Kama unayo basi nitafute ASAP. Dogo anayeihitaji kwa sasa yupo Dar; na ndiye...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Eng Hersi Said, kufumba na kufumbua, nahitaji huyo coach tapeli Roman Folz aondoke

    Yanga sio sehemu ya wanafunzi kufanya field Folz sio coach Bali ni tapeli tu Binafsi simhukumu Kwa matokeo ya Leo huko Mbeya, Mimi kama mwanamichezo naelewa hayo ni matokeo ya kawaida katika ligi Huyu coach ni tapeli ana bahatisha Kwa foundation course yangu ya coaching hizi ndo mbinu...
  9. Vien

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu zaidi ya maswala katika uendeshaji biashara chini ya kampuni

    Habari wanazengo, Nimekua na shauku sana la kusajili biashara yangu ya hardware itambulike rasmi kama kampuni, sasa katika kufuatilia nimekutana na vitisho vingi kutoka kwa watu mpaka inapelekea niwe na utulivu ili nipate elimu kwanza kabla ya kuingia moja kwa moja kwenye kusajili kampuni...
  10. Atukuzwee

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanamke wa kuoa Serious

    Habari kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji mke wa kuoa. Nilishakua na mahusiano huko nyuma ila kuna mambo yalitokea mengi tukaachana ila sijawahi kuoa wala sina Mtoto. Ukiwa interested karibu Sifa zangu ELIMU: Degree. Kazi: Network administrator Umri: 33 Location: Dar Rangi: Black...
  11. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Sasa Nahitaji Mke

    Sifa zangu: Mwanaume mwenye umri wa miaka 30, kabila maasai Degree ya Kwanzaa Muajiriwa sekta binafsi Mweusi, mrefu na mwili wa wastani Mkristo Sijawahi kuoa na Sina watoto Napenda jogging na kusali Sifa za mwanamke ninayemuhitaji Mkristo kabila lolote Mweusi na mwenye urefu wa wastani Aliye...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika: nahitaji mahali pa kufikia Dar

    Habari wakuu! Mm ni kijana mwenzenu Mtanzania halisi.Nimekuwa na changamoto ya kiafya muda mrefu kidogo .Kwa sasa niko kanda ya ziwa natakiwa kuja dar this month kwa ajili ya matibabu.Kwa bahati mbaya sina sehemu ya kufikia huko,nahitaji nipate ata kama kuna jumba ( pagale) ambalo linahitaji mtu...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Rafiki

    Nahitaji rafiki kwaajili ya kuongea kiingereza tu , kupractice english speaking, mimi nafanya kazi za uhandisi wa electronics , im man karibu PM
  14. kafuta ambele

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Pikipiki TVS 125 HLX

    Kama kichwa kinavojieleza nipo DSM Ofa yangu milioni moja na laki sita za kitanzania 1600000.
  15. CEYLON

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI MTU ANITENGENEZEE VITAMBULISHO ,(SOFT COPY)

    Nahitaji mtu wa kunitengenezea vitambulisho 300 soft copy kwa hapa Dar.Aliye tayari anichek inbox tuelewane bei, nimtumie sample tufanye kazi.
  16. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nifungue kanisa

    Nahitaji nifungue kanisa sina ajira nimetoka chuo Procedure zake miujiza ya uwongo ninayo
  17. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Vitz Old Model-Inayotumia mtungi wa gas, namba yoyote ile.

    Habari zenu, nahitaji Vitz Old Model inayotumia mtungi wa gas na mafuta, nipo Dar Es Salaam, mda wowote nakuja kuicheki gari, nipo serious kiasi kwamba hata leo leo tunaweza kumaliza biashara. Gari: Vitz OLD MODEL (Inayotumia Gas na mafuta) Namba ya usajili: Yoyote ile kikubwa engine na gearbox...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji IST Old Model budget yangu 8-9.5m

    Nahitaji IST Old Model namba ya usajili yoyote ile but yenye vigezo vifuatavyo: 1. Body iwe nzuri 2. Mwaka wa usajili kuanzia 2017 kuendelea, ili niweze kulipia bima kubwa. 3. Iwe na AC 4. Engine iwe vizuri 5. Gearbox iwe vizuri 6. Ikiwa na bampa kubwa ni vizuri zaidi japo sio muhimu sana...
  19. 4

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI MUONGOZO WENU

    Jina langu kwenye vyeti vyangu vyote ,pamoja na nida linafanana,yan mfano john kulwa sembo, na taarifa za jina la baba kwenye nida yake pamoja na cheti changu cha kuzaliwa ni Frank kulwa sembo je kuna athari zozote kwenye bodi ya mikopo 2025 2026
  20. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi wa smart tv - Aiwa

    Nina Aiwa smart tv ambayo haidisplay chochote ukiiwasha. Nahitaji fundi aje aiangalie.
Back
Top Bottom