nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufanya check up ya mwili mzima nijue magonjwa niliyonayo

    Wadau hivi kipimo Cha CT-Scan kama nimekosea jina mtanisamehe kinaweza kumulika mwili mzima na kutoa matokeo sahihi ya magonjwa yote yanayonisumbua?vipi side effect ya kupima na kipomo hicho kama zipo nyingi naombeni mniambie. Hakika kwa nilikofikia nahitaji kufanya checkup ya mwili mzima labda...
  2. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke mwembamba aliyenyooka

    Hamjambo Binafsi nina ombi nalileta kwenu,natafuta mwanamke mwembamba haijalishi umri,rangi,tabia au kabila.Kwa upande wangu nipo sawa umri wangu nipo stage ya tatu. Kama yupo humu ndani au kuna mdau yeyote anamfahamu mwanamke mwenye sifa tajwa DM yangu ipo wazi. Asante
  3. MEGATRONE

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mfamasia ngazi ya degree

    Habari nahitaji Mfamasia Ngazi ya Degree! Aliye tayari tuwasiliane: Contact: 0672473087
  4. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuoa njoo inbox Moja kwa Moja awe Dodoma na viunga vyake

    Husika na kichwa cha habari hapo juu nahitaji mke awe na umri kuanzia 35+ njoo inbox
  5. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania Aliyefanikiwa kutumia Dawa za kuongeza Uume, nahitaji msaada

    Aliyewahi tumia dawa za kuongeza uume na kufanikiwa nahitaji anipe recommendation. Kama hutaki kucomment unaweza kuja PM Kama hujawahi tumia tafadhali achana na hii thread 🤣🤣 Ushauri wa kipuuzi sihitaji. Side effects nazijua kwahyo sitaki comment zakijinga
  6. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza

    Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ... Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta. Ila mwisho wa siku unafika early 30's kama mimi unakuta kupata mwenza wa sifa zako ni ngumu mno...
  7. itagata

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine ya kutengeneza sabuni za miche

    Wadau Salaam! Ninahitaji mashine ya kutengeneza sabuni za miche pamoja na mixer angalau ya lite 200. Mwenye nayo au mwenye uelewa naweza ipata wapi naomba anisaidie kwa kunitumia ujume PM. Asanteni sana.
  8. Noah the lastborn

    JamiiForums Tanzania Nahitaji muongozo namna ya kulipwa youtube

    Naombeni muongozo wa namna ya kuwa monetized youtube kwa kupost na kucreate content ,nahitaji muongozo kidogo
  9. Kitambi chakufutia tachi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji matajiri wa kuwanunulia korosho.

    Salaam wakuu. Mimi ni kijana umri wangu 28 nipo Mtwara nahitaji mabosi wa kuwanunulia korosho ambazo kwa huku tunaita za kuoka ambazo kwa huku zinanunuliwa kwa Kg 1 Tsh 14000- 16000 malipo juu ya kazi tutaelewana .
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa kinifanyia Config ya DOCKER, PORTAINER, CONTAINERS kama vile Pi hole, Nextcloud, Tailscale-vpn, Media automation kama vile SONAAR n.k

    Nahitaji mtu wa kinifanyia Config ya DOCKER, PORTAINER, CONTAINERS kama vile Pi hole, Nextcloud, Tailscale-vpn, Paperless ngx, Media automation kama vile SONAAR kwenye NAS SERVER. 0715 240140
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Msaada please, nimebahatika kupata huyu Jidada ila kitendea kazi

    Kuna dawa gani zitaongeza urefu na unene wa mashine? Jana nmebahatika kupata jidada lenye kinu kipana sana na mchi wangu umekuwa mwembamba na mfupi. Je kuna dawa za kuongeza size ambazi hazina madhara? Maana nmelijaribu aaaaargh wapi hatusikizani kabisa. Mimi sisikiii na lenyewe halisikiii...
  12. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua za kumwagilia mpunga

    Kwa mwenendo huu wa changamoto za maisha huku maporini nahitaji kama 10 zitanisaidia kwenye ukombozi. US$20,000 = 50,000,000tsh
  13. DOM_LEADER

    JamiiForums Tanzania Nahitaji connection au links za magroup ya WhatsApp yanayohusu technology kuhusu simu, PC na mengineyo kama hayo

    Habari wakuu Kiukweli nahitaji kuongeza uelewa kuhusu mambo mifumo ya sim na mambo ya computer like androids, OS, Linux, bypassing and other like that. Hivo nilipendelea sasa kisaidiwa kupata connection hasa za whatsapp ili kukutana na wataalamu mbalimbali katika group hizo. ASANTENI SANA.🙏🙏🙏
  14. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo kwa ajili ya kuboresha shule yangu ya day care

    Habari ndugu wanaJF wenzangu mimi ni mgeni humu ndani. Nimejulishwa jukwaa hili na rafiki yangu wa karibu baada ya kumuelezea changamoto nazopitia katika ofisi yangu. Kiufupi ni kwamba mimi ni msichana umri miaka 25 nimemaliza shahada ya ualimu mwaka juzi. Baada ya kukaa mtaani kwa takrban...
  15. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mdhamini(muwekezaji) kwenye biashara ya samaki, pweza, kamba, ngisi, dagaa wakavu na simbi

    Simu: 079 531 536 9 Nimerudi tena, baada ya andiko la kwanza naona wawekezaji mnakuja na kuondoka. Habari; Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Ninahitaji mdhamini kwenye biashara ya mazao ya bahari. Kwasasa nimeanza kufanya hii biashara nikishirikiana na Mama angu mzazi, lakini mimi...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Maisha ya UPWEKE yamenichosha - Nahitaji Mke

    Kichwa cha habari hapo juu cha husika. Maisha ya upweke ymenichosha hivyo nahitaji mwanamke wa kuishi nae maisha ya kumpendeza Mungu. Sifa kubwa awe na uhitaji wa mume kweli na pia awe mwanamke mwenye maono kuhusu maisha na awe mwanamke anayejitambua. On top of that, elimu yake isipungue...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mkopo kwa dhamana ya gari

    Habari wakuu. Nahitaji mkopo wenye riba kutoka mtu binafsi, nitaweka gari kama dhamana. Mkopo kwa muda wa miezi 2. Kwa mawasiliano zaidi tuzungumze
  18. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mawakala wa mauzo Daresalaam

    Hello wakuu,. Nahitaji maafisa mauzo (Mawakala wa mauzo) kwenye bidhaa ya mikopo kwa dhamana ya gari,. Awe ni mchangamfu na mwenye uzoefu kwenye mauzo na kukutana na wateja wapya. Awe anaekaa mkoa wa Dar es salaam. Kwa mawasiliano anaweza tuma CV au kupiga simu 0757962335
  19. mtoto wa kibopa

    JamiiForums Tanzania nahitaji vifaa vya simu aina ya huawei mate 20 pro viwe used au vipya

    nahitaji vifaa vya huwei used hata kama ni vipya itakuwa sawa tu...vifaa ninavyovi hitaji ni mfuniko wa batri uwe na muonekano kidogo mzuri kama ni used,camera ya mbele na nyuma...au hata ikipatikana hii simu iliyokufa display nitanunua.
  20. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja Dar es Salaam/pembezoni mwa mji kwa ofa ya Tsh 5m

    Nahitaji pembezoni mwa mji au kiluvya
Back
Top Bottom