G.T.L
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 1,749
- 3,991
Wakuu.
Samahani, naomba mwenye uzoefu zaidi anaweza kunisaidia ni Router ya kampuni gani naweza kupata kwaajili ya biashara ya WiFi kwenye ofisi yangu ambayo mteja atakua analipia either kwa muundo wa kununua vocha or njia yoyote ambayo itaniwezesha ku control mapato hata nikiwa mbali na eneo pasipo kupigwa na kijana wa kazi.
Au kwa mwenye ujuzi namna bora ya ku control mapato kwa wale wateja watakaotaka kujiunga kwa kulipia. Asanteni.