Habari wadau wa audio. Natafuta Subwoofer ya inchi 10 (Used/Mitumba) kwa ajili ya DIY project yangu ya chumbani. Target yangu ni kupata Quality Bass kwa ajili ya RnB na Trap (Tight bass, siyo kelele).
Sifa ninazotafuta:
✅ Size: 10 Inch
✅ Impedance: 4 Ohms (Preferably)
✅ Aina: Single Voice Coil (Single magnet)
✅ Brand: Napendelea zilizotoka kwenye mifumo ya Sony, LG, au Samsung (Used Hi-Fi) au brand kama Pioneer/Kenwood za Japan.
✅ Hali: Iwe na coil original (haijarudiwa) na ukingo wa mpira (rubber surround).
Kama unayo dukan kwako au unauza kienyeji, nicheki DM au weka picha na bei hapa chini. Bajeti yangu ni 40k - 55k.
#DIYAudioTanzania #Subwoofer #Kariakoo #UsedSpeakers