Nahitaji mkulima mpunga kuanzia heka 5

Nahitaji mkulima mpunga kuanzia heka 5

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,625
Reaction score
2,478
Kama unadeal na ukulima mpunga

Naomba nicheki kwa 0713 039 875 tufanye biashara
 
Ungenyoosha maelezo unamtaka huyo mkulima kwa lengo lipi? Mimi niko Wilaya ya Kilombero maeneo ya Mofu huku nalima huo mpunga. Sasa hivi tupo kwenye ng'olezi, na maeneo mengine mpunga umeanza kutunga mimba.
 
Back
Top Bottom