mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania LATRA: Mabasi yasiyotumia tiketi mtandao mwisho Septemba 1

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra), imesema kuanzia Septemba 1, 2022, mabasi yanayofanya safari za mikoani na nchi za nje yasiyotumia tiketi za mtandao hayaturusiwa kufanya shughuli za usafirishaji wa abiria. Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi Agosti 18, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Nini itakuwa mwisho wa Andrew Tate?

    Huyu bwana huwezi ni ngumu kuangalia video zaidi ya 10 kwenye Tiktok bila kukutana na video zake, wengine wanamuona kama mtu shujaa na msema ukweli na wengine wanamuona kama mtu katili kwa wanawake, will he b cancelled? will he got shot? will he endup in prison by allegation?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tuwaombee watoto wa Vyuo vya Afya (NACTEVET) wanaofanya mitihani yao ya mwisho wa Mwaka (semester II)

    Mitihani yao inaanza leo. Wamepewa Exam timetable last Friday, wameshitukizwa. masikini hawana wa kuwasemea. Hivi vyuo vinahitaji reforms kubwa. Ni vya "bora liende" so to say! Wanakuwa victimized in all areas of their studies. Kuna wengine jana tu ndiyo wanaambiwa hawana sifa za kufanya...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Hersi na Mhamasishaji Manara kuwa na 'Hatiani' huu ndiyo Uwezo wa mwisho wa Kufikiri wa Mashabiki na Wanachama Wao

    "Tunaomba sababu ni kwanini katika Tamasha letu la Citizens Beauty Beauty Day hakuna hata Kiongozi Mmoja wa TFF aliyekuja. TFF inatunyanyasa mno na ina Chuki na Sisi" wamesema Wasio na Akili FC. Yaani Viongozi wa TFF waache kuwa busy na Ugeni wa CAF na Mkutano Mkuu utakaofanyika Arusha waje...
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo la maji nchini mwisho 2025, Rais Samia anatekeleza

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuboresha huduma za afya na maji katika maeneo mbalimbali nchini. Amesema anatambua matatizo yanayowakabili kina mama kutembea umbali mrefu kufuata huduma hiyo muhimu hivyo Serikali...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza

    DUA KWA VIJANA WETU Leo Jumamosi Agosti 6, 2022 Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza, wakati mabondia wake Wawili na wanariadha idadi hiyo hiyo wakiingia dimbani kupambania medali. Kwa upande wa ndondi...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Danguro jipya laibuka Mbezi Mwisho, wapangaji wahamishwa kupisha biashara

    Wakuu Kwa sasa hili jiji la Dar kila kona hali imeharibika, biashara ya ukahaba imekithiri kwelikweli mpaka kwenye maeneo ambayo hayakufikirika kama siku moja kunaweza kuwa na danguro Madanguro yanaota kama uyoga kila siku na wenye mamlaka wamekaa kimya as if haya madanguro hayaonekani, hii ni...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

    Nimeona ni ujinga kulialia kila siku sasa ni mwendo wa vpn tu nilikuwa napata shida na configuration files namalizia tu kuzi sort hapa na kuna mdau nimekutana naye instagram ni mnigeria ananisaidia Airtel leo mnaenda kupata tshs 2000 ya mwisho kwenye bando lakini bado nitakuwa hewani sana FOR...
  9. JamiiForums Tanzania Hali ya baridi inayoendelea nchini mwisho wake lini?

    Kwa hii baridi inayoendelea nchini Ukute serikali ya SiSiEM Imekula hela ya joto 😂😂 Ni ajabu kuona dar leo hatutembei vifua wazi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tusioe wanawake vilaza; Hakuna kitu kinauma kwa mzazi kama mtoto wako kuwa wa mwisho darasani

    Pata picha umesafiri umeacha familia yako Junior anaumwa, umefika ulipokwenda unampigia simu mkeo kujua vipiimo vinasemaje Mimi: Habari mke wangu doctor kasemaje Yeye; Kasema mtoto ana YUTIYAI na AMWIBA Mimi; nisomee dose yake Yeye; mwayego hapa maandishi siyaoni vizuri kuna herufi kama sio nne...
  11. JamiiForums Tanzania Anguko la Rais Samia Suluhu Hassan lipo mikononi mwetu, tusimuangushe, tupambane kwa pamoja kukuza uchumi wetu kwa kuchapa kazi

    Habari za wakati huu enyi walimwengu wa Karne ya mwisho wa dunia, mliopo katika ardhi yenye baraka ya Tanzania, na hata msiokuwa Tanzania. Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Awali ya yote nipende kukushukuru wewe unayesoma makala hii kwa kutenga muda wako ili uweze...
  12. JamiiForums Tanzania Taifa Stars yabaniwa kufanya mazoezi ya mwisho taifa. Kocha Paulsen ang'aka

    Kocha Mkuu wa Taifa Stars Kim Poulsen akizungumza kuelekea mchezo wa kufuzu CHAN dhidi ya Somalia utakaochezwa kesho Jumamosi Julai 23 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa. Polsen ameshangazwa na kitendo cha timu ya Taifa ambayo inajiandaa na mechi ya CHAN kunyimwa uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili...
  13. JamiiForums Tanzania Phone4Sale OFFA OFFA; Simu zinauzwa

    OFFA OFFA iPhone 7 plus, 450,000 Tsh. iphone X 600,000 Tsh Iphone X Max 750,000 Tsh Simu hizi ni mpya new, zinakuja toka china. Weka order yako haraka. Pesa utalipa baada ya kupewa simu. Sharti: Uwe Dar es Salaam.
  14. S

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Ukomo wa Utumishi wa Umma uwe miaka 10

    Utumishi wa uwe mwisho miaka 10 Habari za majukumu wana jamii forum, andiko langu la leo ni juu ya ukomo wa utumishi wa umma, kwa mtazamo wangu ni bora zaidi ukomo wa kutumikia serikali upunguzwe hadi kifikia miaka 10, kwa maana ya kwamba serikali itengeneze utaratibu wa wahitimu wa vyuo...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya mtandaoni ilivyoua na Kuhuisha Ndoto Zangu; Kicheko Kisicho na Mwisho

    Kustaftahi Ongezeko la vijana wengi wano maliza elimu ya juu, vyuo vya kati na shule za upili limesababisha upungufu mkubwa wa ajira nchini. Taasisi binafsi na taasisi za serikali ambazo zina nafasi ya kuajiri zimekua zikitumia mwanya wa uwingi wa wahitimu wa vyuo na vyuo vikuu kama fimbo ya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Wanaofanya haya, mwisho wa maisha yao utakuwa mzuri au mbaya?

    Namaanisha baada ya muda wa hawa watu kuishi huku Duniani kuisha na wakaondoka. Huko watakapokwenda watakuwa na maisha mazuri au mabaya ? Imekuwa kawaida ya watu kila kitu wanachoambiwa wao ni kupinga tu. Hawatengi muda wa kutafakari, Hawatengi muda wa kujiuliza kwanini mtu ameamua kuacha...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Tafadhali sana NBS msishiriki dhambi inayopangwa na hawa watendaji na Halmashauri, naombeni muwe waamuzi wa mwisho kwenye ajira za sensa

    Nimejaribu kupitia maoni mbalimbali ya wadau mbalimbali kuhusu ajira za sensa na zaidi maoni yao wengi yamejikita katika hofu walinayo juu ya mwisho mbaya unakaoenda kutokea ikiwa zoezi hili litakuja kukamilishwa na usaili utakaosimamiwa na watendaji. Nausema ni mwisho mbaya kwa Sababu zoezi...
  18. JamiiForums Tanzania Ipo siku yako, endelea kupambana, mwisho wa kupambana ni pumzi yako inapoishia!!

    Salam! hapa jamvini tumekuwa tunapeana matukio yetu ya kila siku, mapenzi mahusiano, matatizo nk. . . leo nimeamka na hilinla kuwapa moyo wapambanaji wanaoelekea kukata tamaa na maisha haya, kuwa ipo siku yao, wanayoyapitia pengine ni funzo wanatakiwa walipate kwenye maisha!! . . ni sahihi...
  19. JamiiForums Tanzania Agano la Mwisho: Je, Sisi ndio waandishi wa vitabu hivyo?

    Kwa wale Wakristo watakua na ufahamu kwamba, katika kitabu kitakatifu cha Biblia kuna mkusanyiko wa vitabu vya Agano la kale na Agano Jipya. Vitabu vya Agano la kale viliandikwa kabla ya Kuja kwa Yesu Kristo na vilitabiri na kutueleza kuhusu ujio wake. Mtawala katika awamu hiyo Alikua Mungu...
  20. JamiiForums Tanzania Dodoma: Spika wa Bunge, Dkt Tulia ashinda mbio za mita 100 zilizowashirikisha viongozi Wanawake

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), ameibuka mshindi kwenye mbio za mita 100 zilizoshirikisha Viongozi Wanawake wakati wa tamasha la CRDB Bank Pamoja Bonanza katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma leo Juni 25, 2022. Chanzo: bunge_tanzania Haatimaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…