mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Diamond muombe msamaha mzee Abdul la sivyo huu ndo mwisho wako

    Tokea Diamond na mama yake wamuaibishe huyu mzee kwny media, mambo si mambo kwa Diamond. jamaa kila anachofanya raia kama hawaoni kabisa katoa nyimbo tatu na zote zimebuma kama hajatoa kitu. BET akala mweleka vibaya mno. Alitangaza ujio wa raelity show na nyanya wake wa SA nayo imezimika kama...
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli

    Kigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina. Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine yenye ushirikina kama Tanga,Pwani au Zanzibar. Kigoma maeneo ambayo yanasifika sana kwa Uchawi ni...
  3. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza mwaka huu nimeingia Ikulu ya Magogoni

    Habari wadau..! Mwaka huu nimepata bahati ya kutinga moja kwa moja white house mjengoni pale Magogoni, asikwambie mtu ikulu patamu. Wapo wanaosema 2025 mama hatagombea mimi nawaambia ni uongo, yaani hata ningekuwa mimi nisingekubali kuondoka kirahisi mjengoni kuna raha. Mama atagombea na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Mapambano yako katika Hatua za Mwisho

    Mapambano ya kudai katiba mpya ni mapambano kudai haki, uhuru na demokrasia. Demokrasia ni kuwa na utawala unaowajibika kwa wananchi. Siyo utawala unaowajibika kwa watawala. Kwenye demokrasia: 1. tozo za miamala ya simu zisingekuwapo, 2. bambikizaji za kesi zisingekuwapo, 3. polisi...
  5. The bump

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa mwanamke, eneo Mbezi Mwisho...

    Natafuta mwanamke anaeweza kutumia kompyuta kwa ajili ya kufanya kazi ya kuingiza nyimbo kwa wateja,Mwanamke wa umri wowote anaeweza kutumia kompyuta. najua si rahisi au yawezekana haujawahi kabisa kufanya hiyo kazi ila usijali utafundishwa na mwanamke mwenzako anaefanya kazi hiyo hiyo,kama...
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Koffi Olomide amekuwa cheap, amefikia mwisho

    Tunaomjua huyu mwamba kuanzia mwanzoni mwa muaka ya 90,hatuna budi kusema amefikia mwisho wa umaarufu.kipimo cha msanii aliyejuu ni kupitia diary yake,wasanii maarufu diary zao ziko full booked mwaka mzima au zaidi,sasa huyu mwamba kwa mwaka hui kazuru Tanzania mara nne kitu ambacho enzi zake...
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza huyu mtu kuanzia mwanzo hadi mwisho halafu usiweze kuwa na maendeleo makubwa ya kwako binafsi basi wewe una tatizo kubwa mno

    msikilize huyu mtu ana hoja nzito zinazoweza kufanya upige hatua kubwa sana kwenye maisha yako msikilize mwanzo hadi mwisho mswahili mwenzetu huyu ana hoja nzito mno
  8. Watu8

    JamiiForums Tanzania Ajali Kimara Mwisho: Lori limezuia njia

    Wale wazee wa road trip ambao mmepanga kutumia barabara ya Morogoro. Wale wakazi wa kuanzia Kimara Mwisho kuelekea Mbezi Mwisho. Kuna ajali ya lori maeneo ya Kimara Mwisho usawa wa kituo cha BRT kiasi kwamba inalazimu magari yanayotoka mjini kutumia Lane ya BRT kuingilia Kimara Korogwe. Hivyo...
  9. Jason Bourne

    JamiiForums Tanzania Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Mheshimiwa wa rais Dr Jakaya Kikwete nikivutio duniani kwa sasa baada yakuwa ni kiongozi wa kipekee Afrika na duniani, Kwanza anaitwa/anajita Dr Jakaya Kikwete wakati hajawahi kusoma popote duniana na hatasoma milele kwa ngazi hiyo ya PHd, Pili ni rais pekee Afrika anaeongoza kwakusafiri...
  10. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Freeman Mbowe ni gaidi

    Nitakuwa wa mwisho kwa akili zangu kuamini kua Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe Freeman Mbowe ni GAIDI kwa sababu zilizo wazi kabisa. Mbowe hana chembe chembe za ugaidi na ni ajabu kuamini eti yeye ni gaidi. Sababu za kunifanya niamini kua Mbowe si gaidi ni hizi: 1. Mbowe ndiye kiongozi pekee...
  11. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania CCM kuendelea kujimilikisha nchi kiharamu mwisho umefika. Hatutakubali tena

    Hata mtoto mdogo wa miaka miwili anaelewa fika kabisa CCM kwa sasa wanajimilikisha kiharamu. Hawana uhalali wowote kutoka kwa Mungu wala kwa wapiga kura ndio maana wamekatalia wamebakia kutumia nguvu kuwabambikia kesi wapinzani na kuwateka na kuwapoteza.Hata siku hakuna mabavu yaliyowahi...
  12. Last emperor

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa mwisho wa CCM

    Kwa heshima nawasalimia wana jukwaa la Jamii forum! Wakati akifunga mkutano wa 8 wa CCM, tarehe 13/11/ 2012 Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, alisema" Nataka mfahamu ndugu zangu tukiishi kwa kutegemea jeshi la polisi kufanikisha mambo yetu, tutakwisha na tutakwisha kweli". Hiyo ilikuwa ni...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Video: Yanga wali-train kucheza rafu mwanzo mwisho?

    Napata shida sana kuangalia clips za marudio ya hii match. Napata shida kuona mpira ukichezwa kama vita na ugomvi. Najiuliza faida ya rafu hizi ni nini. Mbali na upinzani wa timu lakini wachezaji hawa ni washikaji na wote wanapigania uzima ili kujenga maisha yao. Sasa inakuwaje jitu linacheza...
  14. mapipando

    JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wangu wa mwisho kuajiriwa

    Habari wakuu, Baada ya kufanya kazi za kuajiriwa kwa muda sasa bila ya kuyafikia maisha ya ndoto zangu, pia baada ya kuishi maisha nisiyopendezwa nayo (kukosa uhuru wa kipato) nimekaa na kutafakari kwa kina juu ya hatma ya maisha yangu na kufikia maamuzi yafuatayo. Mosi, kuna 4.3m PPF, hiki ni...
  15. The Boss

    JamiiForums Tanzania Kwa haya yaliyotokea Florentino Perez ndiyo mwisho wake?

    Jamaa aliejulikana kama "The greatest seducer of Men". Rais wa Real Madrid sasa naona ana bonge la kashfa. Audio leaks za mazungumzo yake na mtu aliemrekodi zinaachiwa. Hadi sasa kawatukana wachezaji walioiletea timu yake sifa zote. Raul na Cassilas kawaita 'fraud'. Cristiano Ronaldo .. idiot...
  16. K

    JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro; madaraka hupita, toba hutengeneza mwisho mwema

    Nadhani ipo nafasi ukitika katika utumishi unachobaki nacho ni kama binadamu mwenye imani kwamba Mungu yupo nikumshukuru Mungu nakuendelea kumtukuza kwa uhai na madaraka uliyopewa. Ukipewa madaraka, ukapewa maarifa ya mema na mabaya, ukapewa maarifa ya kujua pumzi si mali itokayo kwa mwanadamu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ni bilionea pekee aliyebakia kwenye siasa za majukwaani. Je, atapigania Katiba Mpya hadi mwisho?

    Mabilionea wengine walishaachana na siasa za rejareja wakiwemo Rostam Aziz, Mo Dewji, Yusuf Manji na Mkono na sasa amebakia " MWAMBA" Freeman Mbowe wa Chadema. Je, Mwamba atatuvusha kwenye katiba mpya au atatuacha njiani? Nawasalimu kwa jina la JMT.
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nna safari ya Capetown mwisho wa mwezi huu. Nani kaenda DIZONGA hivi karibuni?

    Concern yangu ni kwenye ishu ya COVID -19. Zile story za kwamba ukifika DIZONGA lazima ukae karantini wiki mbili kwenye hoteli ya 5 star kwa gharama zako mwenyewe zina ukweli wowote? Vipi kuhusu wimbi jipya la maambukizi ya COVID ni kama tunavyo aminishwa na media au huko...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Arusha: Sabaya na wenzake wafikishwa Mahakamani. Kesi yaahirishwa baada ya mashahidi kukosekana Mahakamani

    Ole Sabaya mtu mwenye tuhuma zisizo na idadi , leo tena amefikishwa mahakamani huko Arusha akiwa amevaa Suti iliyopauka ili kusikiza kesi zinazomkabili. Kesi za aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (34) na walinzi wake watano, ambao wanakabiliwa na mashtaka...
  20. MrsPablo1

    JamiiForums Tanzania Fremu kubwa sana ya biashara inapangishwa mbezi mwisho

    Fremu kama inavyoonekena ipo mbezi mwisho mitaa ya mbezi kwa Yusuf. Inafaa kwa biashara mbali mbali kama duka,ofisi,medical laboratory,dispensary,microfinance, nursery and daycare,tuition center na nyingine nyingi. Bei ya kupanga fremu ni laki tano kwa mwezi . Ukihitaji kuona fremu nicheki 📞...
Back
Top Bottom