Naitwa Surya mchizi toka shy town.
Leo nimeamka sina kitu, chai nikapiga deshi..
Ila mchana nimekula ugali nyama na mchicha.
By saa 9 mchana nikaangukia mitaa fulani maeneo ya kazi (Mtu kama 9 hivi jumla) tayar mbuzi mzima anatiwa viungo tayar kwa kuchomwa.. nimekula mbuz nimeshiba
Lakin...
Mwisho wa mwaka kuna makabila yanapenda sana kumalizia kwao. Yani wanatoka mjini wanarudi walikozaliwa.
Kwa hali jinsi ilivyo vikohozi,kifua pamoja na mlipuko wa nne wa UVIKO-19 yan kirusi cha Omicron.
Kitendo cha watu kuingiliana kwa wingi huenda ikasababisha madhara hususa ni kwa wakaazi...
Tangu Ijumaa mpaka leo mtandao haufanyi kazi upande wa mobile money unaandika hakuna huduma kwa sasa jaribu baadae.
Nani ana experience tatizo kama hili?
Hili jiji kwa miundombinu bado kabisa, ni zaidi ya miaka kumi (10) sasa tangu litangazwe jiji, lakini cha kushangaza na kusikitisha hakuna vituo maalumu vya kushusha na kupakia abiria.
Vile vituo vya njiani hakuna alama yoyote inayoonyesha kuwa hapa ni sehemu ya kushusha na kupakia abiria, kwa...
Mwezi April 2021, Baada ya dakika chache tu ya kufariki Rais Magufuli aliyekuwa mfuasi kindakindaki wa hayati John Magufuli bwana Job Ndugai aliyeapa kumuongeza muda wa kutawala kidikteta Tanzania atake asitake, alimgeuka mchana kweupe na kulitangazia taifa kuwa serikali ya Rais John Magufuli...
Moto ambao chanzo chake hakijafahamika umeteketeza vibanda vya wafanyabiashara vilivyopo kando ya barabara ya kuelekea katika hosteli za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).
Moto huo ulianza leo Ijumaa Novemba 12,2021 saa 2 asubuhi lakini kikosi cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kilifika eneo...
Katiba ya sasa ina mapungufu makubwa sana ambayo yanazuia nchi yetu kupiga hatua za maendeleo na kufanya watanzania wengi kuishi katika ufukara wa kutisha. Takwimu zinaonyesha kuwa 96.6% ya watanzania wanaishi chini ya $2 (TSH.4600) na zaidi ya 86% wanaishi chini ya msitari wa umaskini yaani...
FIRST ELEVEN YA USHINDI TUPU
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Zimbwe
4. Kennedy Wilson
5. Joash Onyango
6. Jonas Mkude Deco de Souza
7. Duncan Nyoni
8. Rally Bwalya
9. Meddie Kagere Mkombozi
10. Ibrahim Ajib Fundi wa Mpira
11. Kibu Denis Mpambanaji
SUBSTITUTES WA USHINDI...
Machinga waote wanaofanya biashara zao barabarani na maeneo yote yasio rasmi jijini Arusha wamebakiza siku moja kuondoka maeneo yote yasiyo rasmi na kuelekea maeneo waliopangiwa.
Maeneo waliotengewa ni pamoja na Kilombero,soko kuu, Mbauda, Samunge. Stand ya Kilombero.
Kuanzia kesho tarehe...
Alizaliwa Vienna Austria na alikuja kuwa Malkia wa Ufaransa. Watu walipokusanyika kwa Mfalme kulalamika maisha ni magumu hawana hata mkate wa kula (mkate ni chakula kikuu sehemu nyingi za dunia). Aliwaambia kama hawana mkate waoke keki. Kauli hii iliamsha hasira zilizozaa Mapinduzi ya Ufaransa.
Mnataka kutuaminisha kuwa atasimama tena majukwaani na kudai kura ajili ya Chadema?
Taifa hili ambalo hata kama halitamtia hatiani tayari halina imani naye tena litamsikikiza yeye na Chama chake?
Kwa nini mlishindwa kusoma Pyschology ya watanzania na kuwatambua kuwa hawako tayari juu ya haya...
Halmashauri ya jiji la Dodoma mwaka Jana robo kama hii ilikuwa ya kwanza Kwa ukusanyaji Kati ya majiji yote, mwaka huu yawa ya mwisho. Na kimkoa yawa ya pili toka chini, kulikoni?
Nini kimeshusha mapato kiasi hicho? Je wawekezaji wameondoka?
Hata viwanja bei imeshuka kulikoni?
Msigwa Kesho...
Mpira unachezwa hadharani kila mtu anaona, tunachokiongea kila siku hapa kwenye jukwaa kimeonekana leo, unabahatika kukutana na timu mbovu lakini unashindwa hata kufurukuta unapigwa kipigo cha aibu namna hiyo, ni aibu kubwa, tena uko nyumbani kwako.
Simba ilichobakiza ni kuendelea kutegemea...
Naona kuna kawimbo kanaendelea kakusema yanga inakata upepo kipindi cha pili, mimi sikubaliani na icho kitu kwakuwa sijaona timu inayokata upepo ikiwa ikiwa inaruusu nafasi za wazi kwa wapinzani kunufaika nazo.
Mara nyingi timu inayokata upepo aiwezi ikacheza mechi zaidi ya moja bila kuruusu...
Video kama hizi zilikuwa zinaleta hamasa kubwa sana na ikiketw fahari kuwa mTanzania , kwa sasa nchi imepoa sana. Anyway, ujenzi wa flyover ya Mwenge unaanza lini, maana hali ni mbaya sana, hapafai!
Huwa nakaa chini nafikiria sana juu ya Hatima yaani mwisho wa kumkumbuka au kumbukumbu ya Nyerere.
Leo inatimia miaka 22 bila Mwalimu tangu alipo tutoka tarehe na mwezi kama wa leo mnamo Mwaka 1999.
Maswali yangu juu ya Hatima hii leo imetimia miaka 22 pasipo kuwa na Nyerere.
Je, Mwaka gani...
Wakati asilimia kubwa ya nchi inakaribia kuunganishwa umeme hasa maeneo ya vijijini ambapo palikua hapajafikiwa kwa asilimia kubwa.
Ikumbukwe kodi/tozo ya REA iliwekwa mahsusi kwa ajili ya kusaidia kupatikana kwa fedha za kusambaza umeme vijijini ambapo mpaka sasa zaidi ya 84% ya vijiji vyote...
Mh Rais Samia
Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara nyingine tena ili kusiwe na hatia juu yako Ila ni wazi kabisa polisi wetu wanakuchafulia na kukutia doa utawala wako.
Mpumzushe Sirro msaidie apumzike kwa heshima jeshi la polisi chini yake limechafuka Sana na Askari wengi wanaumizwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.