mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Egwugu

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaomba kujuzwa ujenzi wa meli mpya "Hapa Kazi Tu" umefikia wapi na mwisho wa mkataba ni lini?

    Mama na serikali yako mnaulizwa na watanzania juu ya ule ujenzi wa meli mpya "MV Mwanza" Hapa kazi tu iliyokuwa ikijengwa pale Mwanza ni nini kinaendelea kwa sahivi. Ile meli ilitakiwa kubeba abiria 1200 na mizigo tani 400, ni meli ya safari kati ya Mwanza, Bukoba na Entebbe. Tunajua ujenzi...
  2. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

    Wakati Wakili wa mfanyabiashara maarufu nchini, Ghalib Said Mohamed (GSM), Alex Mgongolwa ameweka wazi vielelezo vya umiliki wa eneo kiwanja namba 60 lililopo Regent Estate Kinondoni jijini hapa, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemtaka mfanyabiashara huyo kumwachia mali...
  3. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kero: Wafanyakazi wa UDART kituo cha Kimara mwisho muache kukwaruzana na wateja (wasafiri)

    Kumezuka ka tabia hawa wakatisha tiketi wa Udart na wale.wanao scan na kuchana .zile tiketi kurushiana maneno na wateja kwa maana wanao safiri Leo pale kimara mwisho majira ya saa kumi jioni ktk folen ya kuelekea Kibaha kijana.mmoja.mchana tiketi alikuwa ana rushiana maneno na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine awaambia NATO: 'Hii yaweza kuwa mara yenu ya mwisho kuniona nikiwa hai!'

    Rais wa Ukraine Zelensky amewaonya marais na viongozi wa Ulaya katika video call (conference call) kuwa huwenda wasimuone hai tena milele kufuatia jeshi la Urusi linavyozidi kujikusanya na ktk viunga vya mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, alimo rais huyo. Ambapo yeye ni taget namba 1. Ktk conference...
  5. NYUNDO YA MOTO

    JamiiForums Tanzania HOT THREAD: (wamaliza visaani)tutume picha au video fupi zinazoonyesha umefikisha speed ya gari mpaka mwisho

  6. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Ifike mwisho na wenye ulemavu wasaidiwe

    Naomba niende kwenye hoja. Watu wenye ulemavu Wana Hali mbaya linapokuja suala la upatikanaji na kutumia huduma za jamii. Mfano mdogo Sana kwenye daladala wanahali mbaya sana. Utashangaa unapokutana na kondakta kichaa.... Huduma ya usafiri kwenye majiji iondokane na matumizi ya mabasi yenye...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Jumanne Sagini: Serikali haihusiki na matukio ya moto

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini amesema kuwa serikali haihusiki na matukio ya moto yaliyotokea katika baadhi ya mikoa nchini na itawachukulia hatua watakaobainika kuhusika na matukio hayo. Chanzo: itvtz Endeleeni kudhani wote tu hatuna Akili. Nitakuwa wa mwisho...
  8. Ahmad Abdurahman

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Osman Kazi kwenye Kilenga cha Mwisho unapotosha ukweli

    Nimemsikia huyu mwamuzi mstaafu kichambua matukio ya michezo ya NBC premear League. Moja ya matukio aliochambua ni "advantage play" alionyimwa Mayele. Osman kaze anatuambia kua kwenye sheria 17 za soka hakuna mahala popote "advantage play" imeandikwa. Swali kwako Osman, ni kweli huijui Law 5 -...
  9. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Nchi masikini ya mwisho Duniani wants to save the World!

    Maajabu, Tanzania ni moja kati ya nchi masikini zaidi Duniani, inaishi kwa handouts, raisi wake anafunga safari kusafiri Mabara kutafuta mkopo wa dola milioni 100 USD, hapo hapo inafanya kila inalowezekana kuokoa Dunia isiangamie na climate change, hii ni nchi ambayo mchango wake kwenye CO2...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa kutumia Tiketi za Karatasi kwenye kivuko cha Magogoni - Kigamboni ni Tarehe 28 Februari 2022

    Salaam Wakuu, Abiria wanaotumia kivuko cha Magogoni Kigamboni mnakumbushwa kwamba mwisho wa matumizi ya tiketi za karatasi kwenye kivuko hicho ni Tarehe 28 Februari 2022 hivyo abiria wote mnaombwa kununua kadi za N-CARD. Kadi hizo zinapatikana Kivukoni pande Zote mbili. Wakala wa Ufundi na...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ni tukio lipi liliwahi kukukuta ambalo ilibaki kidogo kuaga dunia, kufungwa, kupata ajali, n.k

    Binafsi nakumbuka kuna siku mvua kali sama ilikuwa inanuesha, siku hio ilikuwa ni mwezi wa 11 ndio siku ya kwanza mvua inanyesha kwa huo mwaka na kiukweli ilinyesha acha kabisa. Sasa nimefika pale kwenye mataa tunapishana na magari kibao, ukungu ukatanda kwenye kioo aisee, sioni kitu mbele na...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Je, ni mwisho wa wabunge wasio na vyama bungeni?

    Mkumbuke Spika aliapa kuwatetea wale wabunge 19 waliotimuliwa na vyama vyao. Spika amejiuzulu je huu ni mwisho wao? Najua kwa sasa kila mmoja anahangaika na pressure zake huko
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa CCM umefika na hata 2025 Rais Samia hatokuwa Mgombea wa CCM

    Yanayoendelea ndani ya CCM ni mapigo ya mwenyezi Mungu kwa CCM na viongozi wake. Wataendelea kuvurugana na mwisho wa siku chama kitapasuka mapende kadhaa. Mama hatoweza kuihimili na hata dola haitafua dafu kutuliza yatayotokea ndani ya CCM kuelekea 2025.Mama atalazimika kuachia ngazi 2025...
  14. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Magufuli na Ndugai: Mungu anaisafisha Tanzania

    Kuanzia mwishoni mwa 2015 hadi Machi 17 2021, Tanzania ilipitishwa katika tanuru la mateso makubwa. Tuliona demokrasia ikikandamizwa, uhuru wa maoni ukibanwa, Mahakama ikitishiwa na Bunge likiendeshwa kwa rimoti ya Magufuli. Aidha tulishuhudia wafanyabiashara wakinyang'anywa fedha zao na kutupwa...
  15. snipa

    JamiiForums Tanzania Blackberry kutelekezwa, Mwisho wa Blackberry OS Duniani

    Baada ya mihangaiko, iliyoumuisha kiburi na jeuri blackberry imezikwa jana, Blackberry aliweza kukataa mabadiliko, na hivyo kuchukua muda mrefu hadi kushtuka, wakati ambapo kaishapoteza mamilioni ya wateja, wasiopenda mambo ya old school. katika maelezo yao blackberry wamewahi kusema iwapo...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Chama Kipya cha siasa - Umoja Party - Ni mwisho wa ccm, Ccm B au Upinzani?

    Je, Ni huyu ama Watanzania wamngojee mwingine?
  17. S

    JamiiForums Tanzania Suala la uraia pacha alilosema Malamula litapatiwa ufumbuzi kamba ya mwisho mwa 2021 ni lipi hasa, au tulidanganywa kama siku zote?

    Nina tatizo la waandishi wa habari wa Tanzania - huwa hawajui kufuatilia mambo, na mara nyingi wanaishi kwa ajii ya siku iliyopo tu. Kuna wakati kurugenzi ya Habari ilitangaza kwamba Chancellor wa Germany Angela Melkel kaongea na Magufuli kujenga kiwanda cha mbolea mwaka 2022. Hakuna...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Wazazi Tusifumbie macho mambo haya! Mwisho wake huchangia ukatili wa kinyama (kuna wajibu, haki na sheria)

    Nilipokuwa mdogo niliamini Jeshi la Polisi ni taasisi inayo mulika kila mahali! Niliamini Polisi ni Dubwana kuuubwaa lenye kuona yaliyopita, yaliyopo na yajayo! Hii Imani ilinifanya nivimbe kichwa na kutembea kifua mbele! Sikuogopa ujambazi kwasababu niliamini jeshi lipo! Nilikatiza popote...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Anayeshupaza shingo yake mwisho wake? Je, inawahusu watawala wa sasa hapa Tanzania?

    Kelele zilikuwa nyingi kumkomesha Polepole kuropoka ropoka kupitia shule yake. Akashupaza shingo yake na kutoa shule kubwa Zaidi yenye vijembe kibao ndani yake. Mwishowe tuliona kabisa wakaja TCRA wakakata shingo yake! Mbaya Zaidi amepelekwa na kwenye LiCHAMA lake pengine na bungeni anaweza...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Sanamu ya Amani iliyowekwa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa ina maana gani? Je, inauhusiano gani na utabiri wa siku za mwisho?

    Ufunuo 13:2 BHN Mnyama huyo niliyemwona alikuwa kama chui; miguu yake kama ya dubu na kinywa chake kama cha simba. Lile joka likampa huyo mnyama nguvu yake, kiti chake cha enzi na uwezo mkuu DANIELI 7 Wanyama wanne wakubwa 1Mnamo mwaka wa kwanza wa utawala wa mfalme Belshaza wa Babuloni...
Back
Top Bottom